PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu msukuma alikuwa dalali wa kuuzwa kwa bandari zetu kwa waarabu atolewe tu km ni msukuma
 
Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima.



View: https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s

Nabii huwa sauti ya Mungu kwa wanadamu

Huyo nabii kageuka kuwa sauti ya wabunge waliopo kwa wananchi na CCM

Hopeless unabii gani huo? Ujinga mtupu

Hakuna nabii hapo utapeli mtupu
 
Back
Top Bottom