Spalulu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 283
- 146
- Thread starter
- #21
Nadhani wako sahihi, hata mimi katika application zangu sikuomba kazi yenye level sawa na niliyopo, na nishapata jibu pia hata wako makazini wanaitwa nimepata evidence muda mfupi ulopita. Competition ni kubwa ngoja niendelee kupambana ntatokelezea tu na kuwapa ushuhuda humu humu
Mara ya mwisho utumishi niliwauliza swali kuhusu hiyo kituo...wakanijibu hivi;
Ikitokea MTU aliyeko kazini mathalani kitengo cha grade II, alafu ikatokea taasisi nyingine imetangaza nafasi ya grade II, huyo. Mtu akaiomba...haitatokea tukamuita aje interview na hata ikitokea bahati mbaya akaitwa basi atatolewa automatically Kwenye replacement. Wanataka aombe kazi ambayo ipo juu ya ile anayoifanya kwa wakati huo na sio kuomba nafasi ya muundo uleule aliopo wakati huo.
Sijajua km walijibu ni kweli wanafanyaga hivyo ama wanaishiaga kutoa majibu mepesi tu!!