Spalulu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 283
- 146
Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ufafanuzi, hivi watu wa PSRS wanaajiri watumishi wako makazini tayari? Maana katika matangazo yao wanaandika watumishi waloajiriwa Serikali wapitishe maombi yao kwa waajiri wao.
Nimefanya hivyo mara kadhaa lakini sijawahi itwa kwa interview hata mara moja. Sasa ndo nauliza km yupo aloajiriwa kwa mfumo huu, au ni viini macho? Jambo jingine nauliza pia wenye fununu au taarifa ni lini Utumishi wataidhinisha watumishi kuhama idara?
Mfano idara ya elimu kwenda idara ya mahakama nk.