Mtumishi Serikalini kuomba ajira nyingine PSRS

Nadhani wako sahihi, hata mimi katika application zangu sikuomba kazi yenye level sawa na niliyopo, na nishapata jibu pia hata wako makazini wanaitwa nimepata evidence muda mfupi ulopita. Competition ni kubwa ngoja niendelee kupambana ntatokelezea tu na kuwapa ushuhuda humu humu
Mara ya mwisho utumishi niliwauliza swali kuhusu hiyo kituo...wakanijibu hivi;
Ikitokea MTU aliyeko kazini mathalani kitengo cha grade II, alafu ikatokea taasisi nyingine imetangaza nafasi ya grade II, huyo. Mtu akaiomba...haitatokea tukamuita aje interview na hata ikitokea bahati mbaya akaitwa basi atatolewa automatically Kwenye replacement. Wanataka aombe kazi ambayo ipo juu ya ile anayoifanya kwa wakati huo na sio kuomba nafasi ya muundo uleule aliopo wakati huo.

Sijajua km walijibu ni kweli wanafanyaga hivyo ama wanaishiaga kutoa majibu mepesi tu!!
 
Umejibu vyema karibukwetu, ila swali langu lilikuwa na pande zote mbili, kwamba mimi ni muajiriwa na nikaona tangazo la kazi na nina sifa nikaapply, lkn sikuitwa kwa interview. Na linidhani niko sahihi kwani kwenye kila matangazo yao wanasema current employees from govt institutions should rout their applications to their specific to their specific employers and I've been doing the same but where, so nikataka kujua km kuna wenzangu ambao wamechukuliwa kwa mfumo huu, other wise hawa"karibukwetusingida, post: 24835114, member: 213882"]Kaka na dada zangu mtu pekee anaepaswa kuomba kazi ni yule mwenye entry qualifications, siyo eti una degree ya uhasibu unafanya kazi halmashauri ya kiomboi halafu kazi zitoke sumatra au tra afu uombe huez kuitwa kwa sasa na haliruhusiwi kwa sababu wanaoratibu hizo ajira zote ni utumishi,ila km unafanya kazi halmashauri X uliajiriwa na diploma zen wakatangaza kazi utumishi wanahitaji watu Sumatra wenye degree za uhasibu na ww ukawa umejiendeleza na ukapata degree unaruhusiwa kuomba kwa kupitisha barua yako kwa mwajiri wako,anachotaka kukitoa mtoa mada ni kuhama kutoka idara moja kwenda nyingine huo tunaita uhamisho.
Umejibu[/QUOTE]
Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
 
Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.[/QUOTE]
ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko
katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo
yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
 
Kama ulikuwa umesomea kitu fulani ukaenda kusomea kingine usiombe tena kazi upya maana mwanzoni ulipoajiriwa ulingiizwa kwenye system...mtandao hivyo wakiingiza jina lako unaonekana tayari una ajira cha kufanya unaandika barua utumishi makao makuu kwa katibu mkuu kuomba akubadilishie eneo la kazi kwa kuambatanisha vyeti husika na barua hiyo ipitishwe na mwajiri wako kule unakotaka kwenda kukiwa na nafasi watakupa
Pia sasa hivi ukiacha kazi huwezi kuja kuajiriwa tena kwani kwenye system inatema wewe ulishaajiriwa
 
Kaka ni labda tu hawakuiti interview, lakini Nina watu hawajapitisha barua kwa mwajiri,,wameaply wakapata,,na sasa wako sehemu tofauti,wote walikua walimu sasa ni afsa misitu,,ila tu wakishapata ajira mpya,, kuna barua wanapeleka kusaini utumishi basi,, na hamna longolongo
 
ww hapa unazungumzia kubadili muudo wa utumishi,hyo inaruhusiwa mtu alikua mwalimu akasomea mambo ya misitu anatuhusiwa kuomba kazi za utumishi sababu walimu hawaajiriwi kupitia utumishi wanaajiriwa kupitia wizara ya elimu kwa kushirikiana na wizara ya tamisemi.
 
[QUOTEeibukwetusingida, post: 24841239, member: 213882"]Umejibu[/QUOTE]
Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.[/QUOTE]
I did exactly the same, naendelea kujaribu bahati yangu kwa kuwa ushindani ni mkubwa hivyo nikiwa na sifa kwa asilimia pungufu ya mwingine it is obvious atachukuliwa alo juu yangu. Nimepata uhakika kuwa for sure wanachukua hata walo kazini tayari provided they have met the qualifications
 
Ni sawa anaruhusiwa ni kweli, lkn mpaka nafasi ipatikane si unajua sasa hivi kila mtu anashika sana alichonacho? Na ukizingatia ajira zilisimamishwa utachukua muda kidogo.
ww hapa unazungumzia kubadili muudo wa utumishi,hyo inaruhusiwa mtu alikua mwalimu akasomea mambo ya misitu anatuhusiwa kuomba kazi za utumishi sababu walimu hawaajiriwi kupitia utumishi wanaajiriwa kupitia wizara ya elimu kwa kushirikiana na wizara ya tamisemi.
 
Usemalo ni kweli kabisa ngoja niendelee kusubiri.QUOTE="Queenever, post: 24843021, member: 449386"]Kaka ni labda tu hawakuiti interview, lakini Nina watu hawajapitisha barua kwa mwajiri,,wameaply wakapata,,na sasa wako sehemu tofauti,wote walikua walimu sasa ni afsa misitu,,ila tu wakishapata ajira mpya,, kuna barua wanapeleka kusaini utumishi basi,, na hamna longolongo[/QUOTE]
 
Nimewaelewa vyema sana ndugu zangu, kila mmoja amejibu kwa uelewa na kwa pamoja mmejenga hoja za kujibu na ku-clear doubts zangu. Asanteni sana
 
Hii inawezekana. Mimi nimepata kazi kwa mkemia mkuu Wa serikali na Nilikuwa kazini.

Zipo taratibu za mtumishi kuhama kutoka kazi moja kwenda nyingine, la msingi iwe juu kimaslahi au kicheo
 
Mwenye kujua office za utumishi anielekeze ambapo usaili utafanyika trh 21
Maktaba mkuu Posta mpya kwa mbele au nyuma inategemea na unatokea wapi check hii MAP
IMG-20171218-WA0015.jpg
 
Kama ulikuwa umesomea kitu fulani ukaenda kusomea kingine usiombe tena kazi upya maana mwanzoni ulipoajiriwa ulingiizwa kwenye system...mtandao hivyo wakiingiza jina lako unaonekana tayari una ajira cha kufanya unaandika barua utumishi makao makuu kwa katibu mkuu kuomba akubadilishie eneo la kazi kwa kuambatanisha vyeti husika na barua hiyo ipitishwe na mwajiri wako kule unakotaka kwenda kukiwa na nafasi watakupa
Pia sasa hivi ukiacha kazi huwezi kuja kuajiriwa tena kwani kwenye system inatema wewe ulishaajiriwa
Huu ni uongo. Hizi system mnazisingizia sana. Ukiacha kazi unaajirika tena vizr sana
 
ww hapa unazungumzia kubadili muudo wa utumishi,hyo inaruhusiwa mtu alikua mwalimu akasomea mambo ya misitu anatuhusiwa kuomba kazi za utumishi sababu walimu hawaajiriwi kupitia utumishi wanaajiriwa kupitia wizara ya elimu kwa kushirikiana na wizara ya tamisemi.
Kwamba walimu si watumishi eti?
 
Omba kama mtu usiye julikana utaitwa tu... ila ukiomba kama mtumishi ni tatizo... usiombe kama mtumishi wa serkali... ukipata kazi utakuja kuchukua vyako toka kwa muajiri wako kama ili uame kwenda sehemu ingine...
 
katika kupanda madaraja pita tamisemi.go.tz wametoa vigezo vipya kwa ajiri ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali isipo kuwa walimu kama sijakosea....
 
Taratibu hizo zikoje mkuu mfano mtu anyefanya kazi halmashauri labda aliajiriwa akiwa na Diploma arafu akajiendekeza sasa anataka kuhama kwenda labda taasisi moja au mashirika ya umma inatakiwa afute taratibu zipi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom