Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
ngoja waje wenyewe teh teh teh
khaaaaaaaaa ckuwahi kuwaza jaman hahahaahaa
teh teh tehUnajua kuwa huyo ndiye 'Rais' mwenyewe lakini??????
teh teh teh
kuna kaukweli hapa aiseeee
''Symbol'' Kama ni hivyo kwanini symbol itumie mamilioni ya shilingi wakati rais original yupo na hazururi hovyo.Mkuu 'Mwenge' ndiyo symbol inayomwakilisha 'Rais' kama vile ile inayomwakilisha 'Malkia Elizabeth' wa Uingereza
Lakini mkuu kuna watu wanasema hiyo symbol imekaa kwenye mambo kiroho zaidiMkuu 'Mwenge' ndiyo symbol inayomwakilisha 'Rais' kama vile ile inayomwakilisha 'Malkia Elizabeth' wa Uingereza
Lakini mkuu kuna watu wanasema hiyo symbol imekaa kwenye mambo kiroho zaidi
''Symbol'' Kama ni hivyo kwanini symbol itumie mamilioni ya shilingi wakati rais original yupo na hazururi hovyo.
Kwani katimiza miaka 60 ya kustaafu?Huyo Mtumishi ametumikia sana! anatakiwa kustaafu kwa manufaa ya UMMA.