Yupo kazini tangu tunapata uhuruKwani katimiza miaka 60 ya kustaafu?
Tumuombe mh. JPM aongee naye kistaarabu ili astaafu kwa hiyari mwaka huu, maana tumemchokaYupo kazini tangu tunapata uhuru
Kuna alama bora ya utaifa na rais kama sherehe za uhuru!!? Sasa kama sherehe za uhuru za 2015 zilifutwa kwa nini hili li mwenge limshinde kulipeka pale makumbusho ya taifa tu. Naunga mkono hoja, hili ni litumishi hewa namba mojaMkuu 'Mwenge' ndiyo symbol inayomwakilisha 'Rais' kama vile ile inayomwakilisha 'Malkia Elizabeth' wa Uingereza