MZALENDO_2021
Member
- Jun 9, 2021
- 9
- 7
Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule anakohamia kwamba atapewa cheo gani? ukizingatia kuwa anakohamia cheo cha Mhasibu mwandamizi kina madaraja mawili, SA-I na SA-II.
Mtiririko wa upandaji wa Serikali za Mitaa ni : Accountant-II (yr-0), Accountant-I (yr-4), Senior Accountant-SA (yr-7), Principal Accountant-II (yr-10), Principal Accountant-I (yr-13).
Wakati ule wa taasisi ni Accountant II(yr 0), Accountant-I (yr-3), Senior Accountant-I (yr-6), Senior Accountant-II (yr-9), Principal Accountant (yr-12)
Mungu akubariki unapochukua muda wako kunielimisha.