Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka

Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni ndogo

Inapotokea baadhi ya wapumbavu kudhoofisha uchumi inapelekea kiwango cha maskini kuongezeka pamoja na matatizo yasiyoisha katika Taifa

Umaskini unapoongezeka unapelekea ongezeko la maradhi na vifo pamoja na matatizo mengine yanayotokana na ukosefu wa fedha

Mfano endapo kipato cha Mwananchi ni laki tatu kwa siku basi kinaweza kushuka hadi sh laki moja, kwahiyo atakuwa amepoteza laki mbili kwa kila siku

Na kawaida hakuna uhakika wa hali ya uchumi kurudi kwa haraka, inaweza kuchukua zaidi ya miaka kumi
Kwahiyo Mwananchi aliyekuwa na kipato cha laki tatu kwa siku atakuwa amepoteza laki mbili kwa kwa siku kwa muda wa miaka kumi au zaidi, tizama ni namna gani madhara yake ni makubwa

Ni wajinga na wapumbavu peke yao ndio wanaojikita kwenye harakati za kijinga za kudhoofisha Uchumi wa Taifa

Watalii wanatakiwa wakaribishwe, pia wageni wasielezwe sifa mbaya za nchi, hii inaua nchi badala ya kujenga
 
Binafsi natamani kuona Tanzagiza chini ya serikali hii haramu ya shetwani Samia suluhu hassan ikipigwa worldwide sanctions hili uchumi wake udhoofike mara elfu moja ya hapa.

Siku hilo likitokea nitafurahi mno, na ninawapongeza sana Gen-z ambao wanendeleza campaign ya kuwakimbiza watalii wasije kabisa hapa nchini, mpaka pale tutakapokuwa na serikali safi inayozingatia utawala wa sheria na kujali uhai wa watu.
 
Zingatia post no. 2.
 
Kwa tatizo kama hili muda ambao watalii watakuwa wameondoka basi watakuwa wakitafuta altenative nyingine hawawezi kusubiri nchi moja kwasababu dunia ina nchi nyingi, Watatokea raisi wa Mataifa mengine watawashawishi watembelee Mataifa yao kwahiyo itakuwa vigumu sana kurudi tena kwasababu watakuwa wameshapata alternative nzuri zaidi
 
Na miongoni mwao ni chama kile kilichopo pale Lumumba street
 
J

Je mtu anayeuwa wananchi elfu 23 plus,amefukia miili kama kuku waliokufa na kideli,pia amepola na kunyima haki ya kuzika watu miili ya wapenda wao,amepora uchaguzi, na bado amejipachika madarakani,je huyu tukisema ni leader wa terrorist organization tutakuwa tumekosea??
 
Kwanini pia usiseme inapunguza utajiri wa walioamua kujimilikisha rasilimali za taifa hili?
 
Unajua hapa inakuwaje boss, wenye mali wanaajiri wafanyakazi mwisho wa siku nao mkono unaenda kinywani, wakikosa mali wafanyakazi nao wanakosa chochote kitu
Hata kama utakuwa na mali za wizi bado utalazimika kuajiri wafanyakazi
Tunabebana kama kumbi kumbi
 
Binafsi naona UFISADI ndio unaongeza umasikini kwa kiasi kikubwa
Kwenye issue kama hii mali hizo zinakuja kurudi kwa wananchi kwasababu wataajiriwa, mkono wao utaenda kinywaji ila kama hazipo na wananchi nao watakosa kipato
Kwahiyo tunagawana hasara, boss akipata na mfanyakazi nae anapata
 
Binafsi naona UFISADI ndio unaongeza umasikini kwa kiasi kikubwa
Kwenye issue kama hii mali hizo zinakuja kurudi kwa wananchi kwasababu wataajiriwa, mkono wao utaenda kinywaji ila kama hazipo na wananchi nao watakosa kipato
Kwahiyo tunagawana hasara, boss akipata na mfanyakazi nae anapa
J

Je mtu anayeuwa wananchi elfu 23 plus,amefukia miili kama kuku waliokufa na kideli,pia amepola na kunyima haki ya kuzika watu miili ya wapenda wao,amepora uchaguzi, na bado amejipachika madarakani,je huyu tukisema ni leader wa terrorist organization tutakuwa tumekosea??
Asee ila dunia ina mambo mengi
 
Ni Makosa ya nani ? Sisi raia walipa Kodi au mamlaka iliyopo kushindwa kutumia nguvu kazi ?

Matozo yasiyoisha, utekaji, watu kutokuwa na imani na vyombo vya dula; watawala wasio na busara na wasiojua kula na vipofu (wizi ambao hata kipofu anauona) kupenda sifa zisizo na manufaa (matokeo ya uchaguzi yanayo-defy numbers na common sense)
1764839433664.png
Narudia tena kuuliza swali, Ni makosa ya nani ? ; Serikali inachuma janga, cha ajabu tusio na hatia ndio tunalila

Hatari sana
 
Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka

Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni ndogo

Inapotokea baadhi ya wapumbavu kudhoofisha uchumi inapelekea kiwango cha maskini kuongezeka pamoja na matatizo yasiyoisha katika Taifa

Umaskini unapoongezeka unapelekea ongezeko la maradhi na vifo pamoja na matatizo mengine yanayotokana na ukosefu wa fedha

Mfano endapo kipato cha Mwananchi ni laki tatu kwa siku basi kinaweza kushuka hadi sh laki moja, kwahiyo atakuwa amepoteza laki mbili kwa kila siku

Na kawaida hakuna uhakika wa hali ya uchumi kurudi kwa haraka, inaweza kuchukua zaidi ya miaka kumi
Kwahiyo Mwananchi aliyekuwa na kipato cha laki tatu kwa siku atakuwa amepoteza laki mbili kwa kwa siku kwa muda wa miaka kumi au zaidi, tizama ni namna gani madhara yake ni makubwa

Ni wajinga na wapumbavu peke yao ndio wanaojikita kwenye harakati za kijinga za kudhoofisha Uchumi wa Taifa
Miaka 60 maji, umeme na barabara shida,acha darasa moja ya shule ya msingi kuwa na wanafunzi 100+,hakuna hospitali za rufaa kwenye kila wilaya,deni la Taifa linazidi kuongezeka

Tuna shukuru Mungu tuna madini ya chuma, bandari,dhahabu,tanzanite,almasi,makaa ya mawe,uranium,gesi,mbuga za wa nyama,mito na maziwa,ardhi yenye rutuba n.k.
 
Kwa tatizo kama hili muda ambao watalii watakuwa wameondoka basi watakuwa wakitafuta altenative nyingine hawawezi kusubiri nchi moja kwasababu dunia ina nchi nyingi, Watatokea raisi wa Mataifa mengine watawashawishi watembelee Mataifa yao kwahiyo itakuwa vigumu sana kurudi tena kwasababu watakuwa wameshapata alternative nzuri zaidi
Itakuwa ni vizuri zaidi, acha tu taifa life kiuchumi na katika nyanja zote, maana vyombo vya ulinzi na nyie machawa mmeamua kumuendekeza mjinga mmoja aendelee kukaa pale juu wakati muda huu ilipaswa ni aidha awe ameshakufa au yuko jela kwa mauaji ya halaiki aliyofanya.
 
Mafisadi yapo hapa hapa yanafilisi uchumi wetu unaangaika na sista wa america
Tena anatumia insta na Fb?

Mmeshindwa kuwashtaki wauaji na watekaji na wabakaji mpk leo hatujui ndg zetu wapo wapi

Uchumi unalinganisha na uhai wa mtu?!
 
Unajua hapa inakuwaje boss, wenye mali wanaajiri wafanyakazi mwisho wa siku nao mkono unaenda kinywani, wakikosa mali wafanyakazi nao wanakosa chochote kitu
Hata kama utakuwa na mali za wizi bado utalazimika kuajiri wafanyakazi
Tunabebana kama kumbi kumbi
Kwaiyo ufisadi uruhusiwe kwa sharti kwamba mafisadi ni lazima watoe chochote kitu kwa walala hoi?
 
Back
Top Bottom