mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 79
Msikilize Mwanasheria akielezea juu ya sheria inasema nini endapo Sitti Mtemvu akikutwa na hatia ya kudanganya umri.
Nilicho shangaa ni kuwa mtu yeyote anaruhusiwa kumfungulia mashtaka Sitti endapo kamati ya Miss Tanzania na Ritta watashindwa/watapotezea.
Nimesikia through Radio 5 ya Arusha kipindi cha michezo hivi punde.