Mtu wa kusupply mayai anahitajika

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,284
Wakuu,

Naomba mtu ambaye anauza mayai kwa jumla trei kwa 5000.

Naitaji trei 30. Nipo Dar.

Ambaye anaweza kuniletea hapa dar aniambie au aniPM
 
Mkuu mayai yapo 4500 kwa trey njoo Kibondo Kigoma uchukue mkuu kuanzia trey 10 nitakuuzia 4000
 
Mtu mwenye uwezo kwa kusupply trey 100 mara tatu kwa week. Kwa maana ya trey 300 kwa week. Kwa bei ya 4800 kwa trey anitafute kwa no 0657317631.
Uwe na uhakika wa kusupply huo mzigo kweli. Asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom