Mtu Wa kuondoa Icloud kwenye Ipad aliyeko Mwanza tuonane.

Haha Titi for tati hiyo mkuu kipindi unanunua alikwambia kama hii haiwezekani kutoka ulipenda au alikwambia inatoka na je bei ulinunua kiasi gani ila pole mkuu haiwezekani hiyo kitu
 
Habari wana Jf kama kichwa hapo juu nina Ipad ina icloud nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuondoa hiyo icloud niko Mwanza, tafadhari kama upo nicheki tufanye kazi.
Pole use it as a toy.pia usipende nunua vitu vya mkononi hasa hizi electronics gadget wapo waliofungwa mpaka miaka 20 unanunua kitu mwenyewe aliuwawa katika tukio la ujambazi...kesi inakuwa yako ukikamatwa na mali zitokanazo na matukio ya ujambazi..hakimu utamsibitishiaje kama sio wewe aliefanya tukio la unyanganyi???
 
Habari wana Jf kama kichwa hapo juu nina Ipad ina icloud nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuondoa hiyo icloud niko Mwanza, tafadhari kama upo nicheki tufanye kazi.

Hiyo Ipad inaingia line mkuu au ni ile inayotumia WiFi ?
 
Apple ID inaweza kuondolewa kiufundi kwenye ipad /simu /mac computer ambayo

( 1 ) haijawa reported stolen

( 2 ) haijawa blacklisted na kampuni ya mawasiliano ilikotokea

For a fee.
 
Apple ID inaweza kuondolewa kiufundi kwenye ipad /simu /mac computer ambayo

( 1 ) haijawa reported stolen

( 2 ) haijawa blacklisted na kampuni ya mawasiliano ilikotokea

For a fee.
mkuu utajuaje kama haijawa reported
 
Back
Top Bottom