Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
 
Ungeongeza nyama kidogo..
Kwamba unataka kujua waliowekeza 500m+ kwa nia gani. Je, unahitaji kuhakiki kama wanalipa kodi sahihi, kuwapa mchongo mpya wa biashara, au kuwapiga?

Kwa taarifa yako, watu wenye ukwasi mkubwa hawajitangazi. Kuna wengine unaweza kuwapata tu kupitia watu wao wa karibu (au chawa wao).

Hakuna mtu mwenye 500m+ atakuja PM kwa maelezo shallow uliyoweka hapa, utaambulia waigizaji.

Kama upo na mchongo wa kweli, namna rahisi ya kumpata mlengwa ni uweke hapa angalau 60% ya maelezo husika, mtu ashawishike aje PM kupata 100%
 
Hakuna mtu mwenye 500m+ atakuja PM kwa maelezo shallow uliyoweka hapa, utaambulia waigizaji
Nakazia
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Kuna mahali nimeona 'dispoint' sijui ulikuwa unamaanisha nini Mr. Investor! Siku hizi vigezo vya kutambulika muwekezaji vimeshushwa mpaka 125m! Sasa mimi wa 125m natakiwa au mpaka 500m?
 
Ungeongeza nyama kidogo..
Kwamba unataka kujua waliowekeza 500m+ kwa nia gani. Je, unahitaji kuhakiki kama wanalipa kodi sahihi, kuwapa mchongo mpya wa biashara, au kuwapiga?

Kwa taarifa yako, watu wenye ukwasi mkubwa hawajitangazi. Kuna wengine unaweza kuwapata tu kupitia watu wao wa karibu (au chawa wao).

Hakuna mtu mwenye 500m+ atakuja PM kwa maelezo shallow uliyoweka hapa, utaambulia waigizaji.

Kama upo na mchongo wa kweli, namna rahisi ya kumpata mlengwa ni uweke hapa angalau 60% ya maelezo husika, mtu ashawishike aje PM kupata 100%
Nilitegemea hizi comment ndio maana sijataka kusema kwanini nawahitaji, inshort tu ni kwamba hata akija winga nitamjua maana simhitaji for shortcall lazima niwasliane nae na ikiwezekana tufahamiane kabisa. Any way sihitaji kwenda far to my point ila nahisi nimejieleza kuwa hao ndio watu wenye atleast expossure ya ninachohitaj kukijua, kwa hiyo kama unataka nijielezee ndio kitu siwezi kukifanya ndio maana nikasema atakaewiwa sio wote.

Tatzo b0ngo ujuaji mwingi hata km hujapewa picha tayari ushatunga sentensi,
 
Ungeongeza nyama kidogo..
Kwamba unataka kujua waliowekeza 500m+ kwa nia gani. Je, unahitaji kuhakiki kama wanalipa kodi sahihi, kuwapa mchongo mpya wa biashara, au kuwapiga?

Kwa taarifa yako, watu wenye ukwasi mkubwa hawajitangazi. Kuna wengine unaweza kuwapata tu kupitia watu wao wa karibu (au chawa wao).

Hakuna mtu mwenye 500m+ atakuja PM kwa maelezo shallow uliyoweka hapa, utaambulia waigizaji.

Kama upo na mchongo wa kweli, namna rahisi ya kumpata mlengwa ni uweke hapa angalau 60% ya maelezo husika, mtu ashawishike aje PM kupata 100%
 
mwanangu unataka mtu mwenye 500+ na aje PM. unajua hulka za maboss wabongo wewe?
Kama una idea yako siku hizi tunasema utatafutwa, wewe ulitakiwa uweke idea yako, wabongo hatuna copyright za idea mpk ulete mbwmbwe nyiingi humu.
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Nenda Kwa Bakhresa,Mo Dewji,Dangotte nk Nina majina kibao ila uende na bank statement verified na bank kabla kuwaona uiache reception watakutafuta wenyewe baada ya kuverify uko kiwango hicho

Hakuna tajiri anapokea wazo la maskini lofa Tanzania ambaye wazo lake binafsi hajafanyia kazi likamtoa

Niko reception ya moja ya counter za hao Matajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom