Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Sasa naona pamoja na upimbi ulionao sasa kwa mbali umeanza kunielewa.
Umesema wachina na wahindi kumbe wako smart na wana uwezo wa kujifunza lugha muda wowote wanapofika kwenye nchi husika hii ndio point yangu niliongea jana halafu wewe na mapimbi wenzako mkanikatalia.
Kama wahindi na wanigeria wanaweza kujifunza lugha immediately anapofika katika nchi husika wewe unashindwaje kujifunza unapofika kwenye nchi husika?Maana yake umekubali kwamba wewe ni kilaza/mjinga na hufundishiki.
Mimi niko na uwezo huo wa kutua kwenye nchi yoyote na nikajifunza fasta lugha yao kwa kuzungumza nao mitaani.
 
waambie hao waliokariri notsi za IST.
Na sijui kama wanakifahamu hicho kitabu.
 
NATAMANI KILA MTU HUMU ANGESOMA KITABU CHA Rich Dady Poor Dady. Wengi mngebadilisha mitazamo yenu kuhusu mnavyofikiri kuhusu watoto wenu.
Kiyosaki anajua kuandika vizuri sana. Kitabu kitapanua mawazo ya kutafuta fedha.

Mimi napenda autobiography. Inakupa mwangaza zaidi na mifano hai ya jinsi gani mfanyabiashara au mwanasiasa kaweza kujiinua.

Lee Kuan Yew's bio is my all time favourite.
 
International school mitihani yao mirahisi mno sema wanacharge pesa nyingi lakini elimu sio strong kivile
 
Wewe huwezi kujieleza, mbishi na hujanielewa bado. Sina mda wa kubishana. Ni mzito sana wa kuelewa.

Mtazamo wako hautakuwa sawa na wangu mpaka mwisho wa dunia. I'm a globalist, wewe ni xenophobic with very narrow mindedness.

Let's agree to disagree and move on.
 
who told you?wewe safari zangu unazijua?
 
Unahangaika naye wa nini? Alianzia kwangu, nilipogundua kuwa na-deal na mjinga, nikaamua kum-ignore.
It's amazing how one can be so ignorant of the way the world operates.

I think I'll take your advice and read my book instead.
 

Umesema COVID! Okay , say it again and think about it
 
Tusubiri kidogo JPM atatufungulia njia, kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kumsomesha mwanae katika shule bora.
 
Na proud yao kubwa ni mtoto kuzungumza kiingereza.Lkn taaluma km taaluma tusidanganyane.Nina uzoefu na hawa watoto.Siyo strong km tunavyoaminishwa.
Ni kweli watu wasiojua kutuliza kichwa na kuliangalia jambo kwa makini hawawezi kujua hilo.
Wao ni watu wa kufuata mkumbo tu bila kujua sababu.
 

Wangapi wana hizo unazoita Juhudi na Allah na hawajafika huko, how do you explain that ?
 
Umechanganya international school na private school,Kuna private school ambazo zinatumia mitaala sawa na government school then Kuna hizi international School zinatumia mitaala tofauti like Cambridge syllabus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…