i think kuwa romantic ni kuwa na mvuto wa kimapenzi like the way you talk to her,muonekano wako,jinsi unavomcare n.k n.k.Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.
sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..
MSAADA TAFADHALI!!!!
take care na mbavu,maana kuna wadau wanafunguka hapa
maana JF ukija umenuna utacheka,ukinuna uzi huu,utacheka mwingine,hata uwe na PhD lazima utapata kitu kipya hapa,,,,,,viva JF A STRESS FREE ZONE
i think kuwa romantic ni kuwa na mvuto wa kimapenzi like the way you talk to her,muonekano wako,jinsi unavomcare n.k n.k.
Ndo mtoe shukrani za dhati kwa mtoa mada alieamua kufunguka ya moyoni licha ya kuambiwa kuwa analeta ufacebook jamii forums na kina lady furaha.
Tangu Zamani nimekuwa nikipata vijembe toka kwa mpenzi wangu wa long time kuwa , am not romantic, at the same time anasema am good in bed na ninamfikisha kweli, Sasa hivi juzi nimekutana na just a friend ( a girl) ambaye kwa kuangalia it was realy kuwa alikuwa anafall inlove kwangu,ukizingatia kuwa sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana na vitimbwi vyote vya kimahaba. then jana akaniuliza " hivi umeshawahi kuwa romantic???" akili ikaruka hadi ikakumbuka vijembe vya my lovee vya kila siku tukiwa na ugomvi. nimejaribu kumdadis nimeambulia patupu.
sasa najiuliza uwenda ni kweli, am not romantic, but hivi mtu kuwa romantic ndo ipoje hyoooo???? ..
MSAADA TAFADHALI!!!!
kuna watu huwatumia wapenz wao kadi,,,,zenye ujumbe wa mapenz,ila nahis muhusika ukiandika maneno yale kwa mwandiko wako,it sound more,
mfano hata kumwambia 'I MIsS U',
haya unaweza kuyaandika kwenye kipande cha karatas tu
( a girl) ambaye..........sikuwa nimedisclose hizo info za kuwa nipo in a very strong relationship. Picha texting za kimahaba, kuongea hadi usiku wa manane kumetawala sana
lover boys ndio wanajua maana ya kuwa romantic..
sio unampigia simu mpenzi wako unaongea kama unakamta jambazi sugu!
mi najishukuru nimebarikiwa hako kakipaji ka kuwa romantic!
hivi ushawahi kufanya sexcharting ama sexphoning? those are parts of being romantic!
girls will love you more!!
oohhh yeah!
Mi nahisi kuwa Romantic ni kupenda kimahaba tu!
....LOVE...
1 Normal love: rafiki na rafiki, mtu na mzazi wake etc.
2 Romantic love: ni mapenzi ya ke & ke wanaoweza kugegedana!!!
...
....Romantic...
Ni hali ya kumjali mwenzio, kumuonesha upendo wa hali ya juu! Kumdekeza, kujishusha, kumpetipeti n.k!
Kugegeda vizuri na kuongea usiku kucha haitoshi kabisaa kuwa na hiyo sifa (romantic)
....
Mara nyingi watu wenye sifa hiyo, huzaliwa nayo!
...
NB: hayo ni kwa mujibu wa uelewa wangu!
Punguza 'ugumu'..ukiwa na mpenzio,talk sweetly and sometimes talk really dirty with her..look at her in the eyes,m'kiss polepole,hugs kwa wingi,hold her hand,waist n.k..inshort show how much u love n u crazy abt her