Mtu 'romantic' anakuwaje?

Pesa ni muhimu sana sana sana ila pesa si kila kitu, tubadilike. Huo Mfano hauonyeshi uhalisia wa wapendanao
 
Ha ha ha umenikumbusha mtu flani ilikuwa hata nikimkumbatia kama nimekumbatia mlingoti,mpaka nikamtolea nishai nikwambia When i hold you you have to hold me back and dont let go ....na jinsi nilivyokuwa nae nikagundua kwamba si mtu wa kuonesha hisia za mapenzi!!
Ok mi nitakwambia ukweli since nishakutana na mtu dizain yako wewe.Kuwa romantic kunahusiana na HISIA,Kuonesha hisia zako za kimapenzi juu ya yule umpendae.Hii inaweza kuonekana kwa jinsi unavyomtazama,unavyomjali na kumwambia jinsi gani unampenda n.k
Watu wanaweza wadefine romantic kwa namna tofauti,holding hands while walking at the beach might be romantic to some people,While others might prefer cuddling(kubambiana),or some other might prefer romantic dinner or locations...Or a bunch of red roses with romantic poem on a card expressing your love for the person....
 
Inabidi uwe mtu wa kuangalia sana bongo movies na udiscuss kila mnapo ongea, ndiyo maana yake. Mambo ya dotcom hayo.
umenena mkuu mi demu wangu nimempiga marufuku kuangalia bongo movies ,maana anataka kunipeleka peleka kwa vitendo vyao,angalia movies za bongo ndo utajua maana ya romantic.
 

we mkalee...inapendeza kwakweli..
 

Haujijali;
Unavaa manguo ili mradi umevaa tu;
Unatembea utafikiri unaenda kutoa taarifa ya msiba;
Unaongea kwa rafudhi ya lugha ya mama yako; hautaki mabadiliko kulingana na dunia ya sasa;
Maviatu unayoyafaa utafikiri Muha;
Hadi leo unavaa masuruali yenye selebration (mikunjo ya mbele)
Kama kuna mambo mengi bro! Hayo ni baadhi
 
Pinno, but hilo tatizo wanalo wanaume wengi wa Africa. Kuwa romantic ni kupunguza ugumu, kuwa na maneno matamu matamu, kumsifia sifia mkeo, kumshika shika kumfanya ajisikie kupendwa na kujaliwa. Ni kitu unajifunza polepole. Mwambie, nakupenda, macho yako mazuri, ngozi yako inateleza, umbo loooooooooote, tabia yake.

Kumbuka
si kitu cha siku moja, fanya consistently, na usisahau.
 
Chezeya kupenda weye ladyfurahia....Dume zima linaweza kububujikwa na machozi pale linapotakwa kuachwa.

yaani mwana umenigusa sana kwa wimbo huu
sijui nikwambie ..........au niache.........?
hebu soma topic hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona fumbo tena?
 
umenena mkuu mi demu wangu nimempiga marufuku kuangalia bongo movies ,maana anataka kunipeleka peleka kwa vitendo vyao,angalia movies za bongo ndo utajua maana ya romantic.


Huwaga najiuliza sana bila kupata jibu. Kwanini mademu wa kibongo na ------- wanapenda sana sinema za kibongo ambazo fake? Hivi kuna msanii gani wa bongo movie ambaye ni role model....Uwoya ama Wema?
 

nikioa ntakua nayafanza haya
 

even kumwandikia maneno ya mahaba kwa mwandiko wako?????
 
Unamaanisha nini sijakuelewa?

kuna watu huwatumia wapenz wao kadi,,,,zenye ujumbe wa mapenz,ila nahis muhusika ukiandika maneno yale kwa mwandiko wako,it sound more,
mfano hata kumwambia 'I MIsS U',
haya unaweza kuyaandika kwenye kipande cha karatas tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…