Yesu aliyajua hayo tangu zaman. Waachen watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbinguni ni wao. Yeyote atakaye jishusha kama mtoto mdogo hakika atauona ufalme wa Mungu
Mtoto anapozaliwa huzaliwa na vitu viwili tu,UWOGA WA KUDONDOKA NA UOGA WA MAKELELE,na huzaliwa na what we call INTELLIGENCE na upendo wote,vitu kama uoga mwingine ukiachana na huo hapo juu,chuki,husda,tabia mbaya,vyote anavirithi kutoka kwa jamii anayoishi(familia yake,majirani zake,shuleni,marafiki n.k),so tabia nyingi uzionazo hapa duniani ni za kujifunza wakuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.