Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Yametokea mauaji ya Wanaume Wamarekani weusi
wawili ndani ya siku mbili nchini Marekani ambapo wa
kwanza alikua muuzaji wa CD aliyeuwawa kwa
kupigwa risasi akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wawili
waliokua wamemlaza chini. Video ya mauaji ya kwanza ya Alton Sterling inaonyesha hakuwa na bunduki mikononi mwake kama
ilivyodaiwa na Polisi wakati wakiwa wamemuweka
chini ya ulinzi, video yenyewe ni hii hapa chini (tahadhari inatisha).

Mauaji ya pili yametokea kwa Philando Castile aliyekua akiendesha gari dogo akiwa na mpenzi wake na mtoto
wao ambapo alisimamishwa na Polisi na kuuwawa kwa
kupigwa risasi sekunde chache baadae huku Polisi
akionekana kujihami kutokana na Mwanaume huyo
kutaka kutoa leseni yake mfukoni lakini Polisi akiamini
alikua akitaka kutumia bastola. Mama watoto wake ambaye alikua nae kwenye gari
alianza kurusha live kinachoendelea kupitia ukurasa
wake wa Facebook kama inavyoonekana hapa chini, (tahadhari inatisha)
 
Polisi wanne Dallas Marekani wameuwawa kwa risasi, ni saa kadhaa zimepita
toka raia wawili weusi kuuwawa na Polisi.
 
weka video sasa tuone, mbona haipo? racism marekani imeshamiri sana, niheri HILALY CLINTON achukue nchi ila akichukua Trump weusi watazidi kuuawa
 
weka video sasa tuone, mbona haipo? racism marekani imeshamiri sana, niheri HILALY CLINTON achukue nchi ila akichukua Trump weusi watazidi kuuawa
inasikitisha sana, ni kheri wangekuwa wanabaguana wananchi kwa wananchi, ila Vyombo vya dola ndio vinambagua raia??? So sad
 
weka video sasa tuone, mbona haipo? racism marekani imeshamiri sana, niheri HILALY CLINTON achukue nchi ila akichukua Trump weusi watazidi kuuawa
Black on black Crime Stats are more alarming than this?...
 
Tatizo si kuuawa wazungu au weusi, tatizo ni incidents zinazopelekea mauaji hayo. Hivi kama mweusi kavamia benki hata wakimshoot kuna mtu atalalamika? Lakini mtu yuko unarmed na anapigwa risasi nne mpaka anakufa, hii inatia shaka. Na takwimu zinaonyesha kuwa unarmed blacks wanauawa zaidi.

Ningeweza ningeweka link hapa.
Kwa mujibu wa mbongo mwenzetu humu ndani anayekaa marekani ni sawa hii mijaa meusi iuawe na polisi kwani hata huku kwetu kwa "wala vumbi" hizi makitu zinatokea…
 
weka video sasa tuone, mbona haipo? racism marekani imeshamiri sana, niheri HILALY CLINTON achukue nchi ila akichukua Trump weusi watazidi kuuawa

Huu ni uongo mkubwa.

Obama huyo mbona bado watu wanauana tu?

Huyu Obama si ndo mlimshangilia nyie wala vumbi kwamba sasa sijui weusi watanufaika....haya mbona mambo bado yaleyale tu.

Acheni kumsingizia mambo Trump. Wewe kama unampenda Hilary sawa, mpende lakini si kwa kumsingizia na kumchafua Trump kwa mambo ambayo hahusiki nayo.
 
inasikitisha sana, ni kheri wangekuwa wanabaguana wananchi kwa wananchi, ila Vyombo vya dola ndio vinambagua raia??? So sad

Si kweli. Kuna law enforcement wengi tu walio wazuri wanaolinda amani kila kona ya Marekani.

Hivi unadhani huko kwa weusi wakipigana risasi huwa wanaenda wapi kuripoti kama siyo huko huko polisi?

Acheni kuchafua mapolisi wote wa Marekani. Mapolisi walio wengi ni wazuri na wanalinda na kutunza amani na kufanya mengi tu mazuri.

Mapolisi wa Marekani walio wengi hawaui watu weusi. Wangekuwa wanaua watu weusi basi hao watu weusi wangekuwa wameshakwisha na hata huyo Obama wenu wala asingekuwepo.
 
Kwa mujibu wa mbongo mwenzetu humu ndani anayekaa marekani ni sawa hii mijaa meusi iuawe na polisi kwani hata huku kwetu kwa "wala vumbi" hizi makitu zinatokea…

Huo ni uzushi. Ni wapi ambapo huyo mbongo mwenzenu anayekaa Marekani aliposema kuwa "ni sawa hii mijaa meusi iuawe na polisi kwani hata huku kwetu kwa "wala vumbi" hizi makitu zinatokea"? Ni wapi?

Onyesha.....
 
Polisi wanne Dallas Marekani wameuwawa kwa risasi, ni saa kadhaa zimepita
toka raia wawili weusi kuuwawa na Polisi.

Yup...hiyo ni kweli.

Lakini wanafiki wa humu wala hawatasikitika.

Wataona ni sawa tu polisi nao kuuwawa.
 
Teh teh teh....hakuna atakayerudi Afrika.

Marekani pamoja na mapungufu yake ni nchi nzuri sana.

Halafu ukiwasikiliza hawa wala vumbi utadhani huko Afrika ni peponi, hakuna madhila yoyote yale.

Wanachekesha kweli.
aisee kweli wala vumbi hatuthaminiki kabisa sijui tumemkosea nini maulana
 
haya sasa polisi wanne nao kushinehi ,kweli US Baby si mchezo imekuwa kama syria sasa
 
vipi hao polisi wanne waliokula shaba tupe mwelekeo umeendaje sisi wala vumbi

Well...kama ilivyo asili ya kazi yao, polisi wakitoka nyumbani wakiwa hai huwa hawana uhakika wa kurudi nyumbani wakiwa hai na ukweli huo umedhihirika kwa hao wanne ambao walikuwa mtaani kulinda na kutunza amani ili watu waweze kutimiza na kutekeleza haki zao za kikatiba za kuandamana na kujieleza.

Inasikitisha sana. Mimi hapa sasa hivi nikivamiwa jambo la kwanza kufanya ni kupiga simu 911....ili polisi waje kunilinda.

Polisi wote sio wabaya. Polisi walio wengi ni wazuri na mara zote huwa nawashukuru kwa kujitolea kutulinda watu kama mimi.

Naunga mkono polisi wote walio wazuri na nimesikitika hao wanne kupoteza maisha yao.
 
Back
Top Bottom