we utakuw na bwana wa kizungu wewe si bureKwani hakuna Walatino wanaowaua weusi? Hakuna weusi wanaowaua weuso?
Hakuna wala vumbi wanaowaua wala vumbi?
**** kama jiwe wewe!
we utakuw na bwana wa kizungu wewe si bureKwani hakuna Walatino wanaowaua weusi? Hakuna weusi wanaowaua weuso?
Hakuna wala vumbi wanaowaua wala vumbi?
**** kama jiwe wewe!
We utakuwa mzungu wewe sio bureKumbe mnajali kuhusu mambo ya USA eh?
Lakini hamna jinsi...lazima mjali tu hasa ukizingatia mlivyo maskini!
we utakuw na bwana wa kizungu wewe si bure
Inawezakana yule Mtanzania wa kutoka Dodoma wakuitwa Dru alipigwa risasi na mzungu!Kwani hakuna Walatino wanaowaua weusi? Hakuna weusi wanaowaua weuso?
Hakuna wala vumbi wanaowaua wala vumbi?
**** kama jiwe wewe!
We utakuwa mzungu wewe sio bure
Inawezakana yule Mtanzania wa kutoka Dodoma wakuitwa Dru alipigwa risasi na mzungu!
Wabongo ni wa kuwazoea tu, ukiwascreen kwa makini wote hao ni American dreamer na wanacheza green card lottery miaka chungu nzima bila mafanikio, na wale viza refusal victims ndio watokwa mapovu wakuu.USA baby View attachment 364266 View attachment 364267 View attachment 364268.
Greatest country on the face of the earth and that's the very reason why you even care so much about what's going on there!
Take that!
Wabongo ni wa kuwazoea tu, ukiwascreen kwa makini wote hao ni American dreamer na wanacheza green card lottery miaka chungu nzima bila mafanikio, na wale viza refusal victims ndio watokwa mapovu wakuu.
Sawa mzunguUSA baby View attachment 364266 View attachment 364267 View attachment 364268.
Greatest country on the face of the earth and that's the very reason why you even care so much about what's going on there!
Take that!
Kinachonifurahisha mimi ni kweli Marekani ni nchi ya kidemokrasia na uwazi, hilo tukio lingekuwa Bongo hata hizo video clip tusingeziona, na cha zaidi US President ametowa speech yake, lakini Bongo watu wanachinjwa kama kuku statement za juujuu zinatoka kwa cops tu na siyo Rais kuonesha anajari uhai wa raia mmojammoja.Hahahaaaa kabisa aisee!
Na hao hao ndo wapenzi wa kuangalia akina Kardashina...sijui ET...mara Discovery....mara NBA....halafu wanakuja humu na kujifanya kuponda kisa tu matukio mawili matatu yaliyopelekea vifo vya watu weusi ilhali usikute huko Manyoni au Nachingwea kuna watu wamechinjwa kama nguruwe jana usiku!
Halafi...hivi si juzi juzi tu hapa kuna watu wamechinjwa huko Tanga? Sasa tuliwasikia hawa wala vumbi wakitoa risala kuwa watu waondoke huko Tanga au wahame kabisa nchi?
Kinachonifurahisha mimi ni kweli Marekani ni nchi ya kidemokrasia na uwazi, hilo tukio lingekuwa Bongo hata hizo video clip tusingeziona, na cha zaidi US President ametowa speech yake, lakini Bongo watu wanachinjwa kama kuku statement za juujuu zinatoka kwa cops tu na siyo Rais kuonesha anajari uhai wa raia mmojammoja.
I am so sad and very angry.
Wewe nyani kama sio mzungu basi wewe chotara mzazi wako mmoja ni wakule maana unawatetea sana wazungu wakati wewe ni nyaniKweli kabisa!
Yaani ukiwasikiliza hawa wala vumbi unaweza kudhani Marekani hakukaliki kabisa.
Kwamba ukiwa mweusi tu utauliwa na polisi walio wabaguzi.
Hiyo ingekuwa ni kweli basi Marekani kusingekuwa na mtu mweusi hata mmoja, na kwa mtaji huo kusingekuwepo hata na polisi walio weusi.
Police Chief na Deputy Police Chief wa Dallas wote ni weusi! Nao sijui ni wabaguzi na wameshaua weusi wangapi!
Wewe nyani kama sio mzungu basi wewe chotara mzazi wako mmoja ni wakule maana unawatetea sana wazungu wakati wewe ni nyani
Tena wewe ungekuwa kule wangesha kutandika risasi naona unawashobokea sanaUnaona sasa....ujinga ni janga kubwa sana!
Nani kakuambia kuwa Marekani kila mtu ni Mzungu?
Huna tofauti na wajinga wengine wanaosema eti watu weusi Marekani ni wageni!
Tena wewe ungekuwa kule wangesha kutandika risasi naona unawashobokea sana
Huko huko unapopaita USA baby😀😀
Ningekuwa wapi? Marekani?