Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Hapa duniani uliwahi kusikia nchi gani Polisi wanaandama? Hivi huwa mnashirikisha halmashauri ya ubongo kabla ya kucomment!?
Magnify picha ndogo niliyokupa, maafande wao ndio wangechukizwa na kitendo cha vijana wao kuua kwa chuki namna ile.

Mazoea ya polisi kutokuandamana tusiyakariri
Ona sasa ukimya wao ulivyowagharimu.
 
Acha longolongo...weka takwimu hapa. Usiniambie mambo ya kufanya utafiti wangu. Wewe unayesema hivyo kwa nini usiweke vyanzo vya utafiti wako? Weka takwimu zako hapa tuzichambue.



Ridiculous! Sasa polisi mweusi akimuua mweusi kuna ubaguzi gani wa rangi hapo? Give me a break!

Kama unazungumzia police brutality hapo sawa. Lakini usilete mambo ya harufu ya ubaguzi wa rangi kwa polisi weusi wanaoua weusi. Hapo hakuna ubaguzi wa rangi.



Mwongo! Nimeogopa wapi kukisema? Onyesha nilipoogopa.



Kama kuna tatizo basi lipo pande zote na hata wewe mwenyewe umethibitisha hilo kwa upande wako unapodai kuna harufu ya ubaguzi wa rangi bila hata kujua context ya tukio au matukio na kusikia maelezo ya polisi.



Hata wewe hiyo ni preconceived notion yako kuwa polisi wanaonekana kuwa wana "pre conceived opinion". Haaaaaaaaa

These things go both ways and that's why in order ascertain what really happened one has to be cool, calm, and collected and not visceral.

Unatoa tuhuma kwa wengine kuhusu mambo ambayo hata wewe mwenyewe unayo. Projecting your own preconceived notions while pointing fingers at others! SMH!
Kuweka au kutokuweka takwimu hapa hakubadilishi ukweli. Ukweli utabaki pale pale kwamba unarmed blacks wanauawa zaidi kuliko wengine and that's alarming.
Na kwa taarifa yako ubaguzi wa rangi waweza kutokea hata baina ya watu wenye rangi moja. Mweusi anaweza kumbagua mweusi mwenzie au mweupe anaweza kumbagua mweupe mwenzie. Inaitwa internalized racism.
 
Si kweli. Kuna law enforcement wengi tu walio wazuri wanaolinda amani kila kona ya Marekani.

Hivi unadhani huko kwa weusi wakipigana risasi huwa wanaenda wapi kuripoti kama siyo huko huko polisi?

Acheni kuchafua mapolisi wote wa Marekani. Mapolisi walio wengi ni wazuri na wanalinda na kutunza amani na kufanya mengi tu mazuri.

Mapolisi wa Marekani walio wengi hawaui watu weusi. Wangekuwa wanaua watu weusi basi hao watu weusi wangekuwa wameshakwisha na hata huyo Obama wenu wala asingekuwepo.
Mbona hatusikii polisi wakiwauwa raia weupe? piga hesabu ya raia weusi waliouliwa na polisi kwa makusudi.... marekani sio salama asee
 
These Europeans are not very good to live on Earth, why every day is black is very sad God will repay your sins against the world. "

I hate white people for this situation. (fck you too all police man like him)
Waana haki ya kulipuliwa na alshabab.
 
These Europeans are not very good to live on Earth, why every day is black is very sad God will repay your sins against the world. "

I hate white people for this situation. (fck you too all police man like him)

Kumbe huwa tunadharau alshabab dhidi ya hawa takataka sasa wametangaza vita kati ya blacks na wao,wameona vita ya kuupinga uislam haitoshi.

Na vioongozi wao #trump,bush n.k
 
Sawa tu maana waafrika wenyewe bado hatujitambui,washamuona mzungu ni kama gold. Angefanya mwarabu mauwaji hayo ungeona matusi kibao na laana zikianza kutiririka hahaaa, acha nikatafute sukari ya bei nafuu sijui nitaipata wapi
 
Magnify picha ndogo niliyokupa, maafande wao ndio wangechukizwa na kitendo cha vijana wao kuua kwa chuki namna ile.

Mazoea ya polisi kutokuandamana tusiyakariri
Ona sasa ukimya wao ulivyowagharimu.
Huko kwa wenzetu haya mambo yanatokea sana tu na polisi wanachukuliwa hatua mapema kama kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Mengine hufuata baadae. Inawezekana muhusika wameshatoa tamko rasmi kuhusu hili tokeo na kinachoendelea.
 
Watu wanajifanya kujali sana yajiriyo Marekani wakati huko mavumbini na kwenyewe ni hovyo tu.
pamoja na wazungu kuwabagua.kuwaua na kuwaita manyani bado unawatetea tu...we utakuwa mgonjwa wa akili si bure
 
pamoja na wazungu kuwabagua.kuwaua na kuwaita manyani bado unawatetea tu...we utakuwa mgonjwa wa akili si bure

Kwani hakuna Walatino wanaowaua weusi? Hakuna weusi wanaowaua weuso?

Hakuna wala vumbi wanaowaua wala vumbi?

Juha kama jiwe wewe!
 
Kwani wazungu na hapa bongo si wapo basi nasisi tuanze kuwatungua tu mamake zao hawawezi kutuulia ndugu zetu kule harafu wao tuna wanyenyekea tena wanaishi kwa amani huku kwetu tuanze kuwatia hata bisi bisi za taya za meno watatia adabu
 
Kwani wazungu na hapa bongo si wapo basi nasisi tuanze kuwatungua tu mamake zao hawawezi kutuulia ndugu zetu kule harafu wao tuna wanyenyekea tena wanaishi kwa amani huku kwetu tuanze kuwatia hats bisi bisi za taya za meno watatia adabu

Kumbe mnajali kuhusu mambo ya USA eh?

Lakini hamna jinsi...lazima mjali tu hasa ukizingatia mlivyo maskini!
 
Back
Top Bottom