Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Mtu mweusi auawa Marekani na askari mweupe

Hujasema mauaji yapo kwa wote. Kama umesema hivyo nionyeshe.

Halafu, hizo takwimu zako zinazoonyesha unarmed blacks ndo wanaouwawa zaidi kuliko raia zwengine zimekuwa compiled na nani?

Manake zisije kuwa ziko compiled na watu wenye upendeleo na wasio waaminifu na wa kweli maana haya mambo ya weusi na crime yana siasa nyingi tu.

Kwa mfano tu, nikuulize swali, hivi hizo incidents za hao wazungu kuuliwa na polisi...tena wengine kuuliwa na polisi weusi ulikuwa unazijua wewe? Ulishawahi kuzisikia sehemu? Au ndo umezijulia hapa tu sasa hivi?
Mauaji yako dunia nzima ila mauaji yenye harufu ya kibaguzi ndiyo yanayopelekea kelele ktk swala hili.

Takwimu zimetolewa na the Washington post ripoti ya desemba mwaka jana na kumbuka blacks ni kama 12% tu ya population ya USA lakini ndo wanaoongoza kuuawa unarmed. Sababu ni nini hasa?

Haya mauaji ya weusi yasiyokuwa na sababu maalum ndiyo yanayofanya watu wapige kelele.

Halafu sijui kwa nini unashangaa watu kupigia kelele hilo swala. Weusi ni minority na ni wageni. hata itokee Tanzania wazungu kumi wauawe bila sababu maalum lazima watu wahoji. Hiyo haimaanishi kuwa wazungu wanakufa zaidi kuliko watanzania.
 
Hivi kwann mijitu meusi ya huko hailipizi kisasi kwa wazungu? Kwann kila siku majiji kama Chicago, NY, LA na kwengineko ni undava na mauaji baina ya weusi kwa weusi? Kwann huu utemi na ukorofi wao mtaani wasihamishie kwa hawa polisi makatili wa kizungu? Sielewi hii makitu kabisa.. Poleni sana weusi wenzetu wa huko..
Malcom X..... Nadhani huyu angekuwepo wangefikia hko maana hakpenda use@#$%
 
I live in America let alone in the mecca for black America.

You can't tell me nothing about America that I already don't know.

What's the source of your stats?
And how about your CBE chick who came lamenting that you impregnated her or you mistook Dar's CBE with one institute at baby'z down town, go check mapping police data for reference, USA baby🙂
 
Mauaji yako dunia nzima ila mauaji yenye harufu ya kibaguzi ndiyo yanayopelekea kelele ktk swala hili.

Harufu ya kibaguzi haimaanishi sababu ya mauaji ni ubaguzi wa rangi.

Takwimu zimetolewa na the Washington post ripoti ya desemba mwaka jana na kumbuka blacks ni kama 12% tu ya population ya USA lakini ndo wanaoongoza kuuawa unarmed. Sababu ni nini hasa?

Mpaka niione hiyo ripoti niisome mwenyewe ndiyo nitaweza kuitolea maoni maana kwanza hilo gazeti ni la mrengo wa kushoto. Kwa hiyo ni lazima kuisoma hiyo ripoti kwa jicho la tatu kwa sababu huenda ikawa iliandikwa kisiasa.

Kwa taarifa yako, vyombo vingi vya habari vya Marekani vimekaa kisiasa zaidi....lakini sitegemei ulijue hilo.

Na kuhusu sababu, well, hivi unajua kwamba sehemu zinazoongoza kwa uhalifu nyingi ni za African Americans? Wewe mwenyewe na weusi wako huo nakuhakikishia kuna sehemu nyingi tu za weusi huwezi hata kuthubutu kutembea peke yako...iwe mchana au usiku. Lakini kuna sehemu nyingi tu za weupe ambazo utajisikia amani hata kutembea peke yako muda wowote ule.

Kuna sehemu za weusi mpaka hata polisi wameshazikacha..hawaendi tena maana watu wenyewe hawataki hata kuishi kwa amani wenyewe kwa wenyewe.

Pointi yangu ni nini hapo? Pointi yangu ni kwamba kuna idadi kubwa sana ya watu weusi wafanyao uhalifu.

Haya mauaji ya weusi yasiyokuwa na sababu maalum ndiyo yanayofanya watu wapige kelele.

Mbona mauaji ya wazungu yasiyokuwa na sababu maalumu huwa hata hamyaongelei? Nimekuwekea hapo links za weupe waliouwawa tena wengine waliouwawa na polisi weusi...sijawahi kukuona ukija kulalama hapa na nahisi wala ulikuwa hujui!

Halafu sijui kwa nini unashangaa watu kupigia kelele hilo swala. Weusi ni minority na ni wageni.

Weusi ni wageni Marekani? Kumbe hujui hata historia vizuri. Weusi wamekuwepo Marekani kabla hata Marekani haijawa nchi. Jifunze historia.

Na kuhusu kelele...sababu kubwa ni kwa sababu ni Marekani tu. Ingekuwa yanatokea huko kwingine wala hata msingekuwa mnakuja kujiliza humu na kujifanya mmeguswa sana.

Kuhusu u-minority....hao hao unaowaita minority ndo wanaongoza kwa crime kama ukiziangalia takwimu proportionally. Na hapo juu nimekwambia hata wewe mwenyewe kuna neighborhoods nyingi tu za weusi wenzio ambazo huwezi hata kuthubutu kutembea peke yako au hata na mwenzako mchana...achilia mbali usiku.

hata itokee Tanzania wazungu kumi wauawe bila sababu maalum lazima watu wahoji. Hiyo haimaanishi kuwa wazungu wanakufa zaidi kuliko watanzania.

Ah wapi...sidhani hata kidogo. Huwezi kulinganisha Tanzania na Marekani kivile. Haya yanayotokea Marekani mnajali tu kwa sababu ni Marekani. Yangetokea North Korea huko wala msingehangaika.
 
And how about your CBE chick who came lamenting that you impregnated her or you mistook Dar's CBE with one institute at baby'z down town, go check mapping police data for reference, USA baby🙂

How is that germane to this discussion?
 
Halafu BAVICHA utawakuta wanalilia pesa za misaada ya marekani na wako tayari kuungana na wamarekani kuhalalisha ushoga... Hii misaada ya haya mapumbavu ni mitego na dharau kubwa kwetu wa Africa.
I REALLY HATE THESE WHITE HOGS.
 
How is that germane to this discussion?
I used it as a precedent to what you previously wrote herein, trying to trace where's your exact locality because in that story you stated being in Dar and now you're crisscrossing yet tying yosef
 
Halafu kwenye takwimu ya nchi zenye amani duniani utaona USA imo, hizi porojo za kijinga sana USA isn't safe at all,
 
Na hao weusi waliokusanyika hapo wanashindwa kumkamata na kumuu mzungu japo mmoja kufidia.....

I HATE WHITE PEOPLE......
Mugabe alisema Blacks wanaweza kukusanyana kumshambulia Daktari Mweusi hospital Joberg kuwa ndie kasababisha Mkulima shambani kukosa ajira lakin wakaogopa kunasa kofi sanamu la Mzungu liliowekwa kwny bustani
 
Halafu BAVICHA utawakuta wanalilia pesa za misaada ya marekani na wako tayari kuungana na wamarekani kuhalalisha ushoga... Hii misaada ya haya mapumbavu ni mitego na dharau kubwa kwetu wa Africa.
I REALLY HATE THESE WHITE HOGS.

Hao hao waliohalalisha ushoga walipokuja kuwatembelea mlideki hadi hizo barabara zenu za vumbi halafu mkajipanga kama mifugo barabarani kuwalaki.

Na kama hiyo haitoshi...hadi barabara yenu ya Ikulu mkaibadili jina na kuipa jina la anayeunga mkono ushoga na mashoga!

Persecution of black is an agenda of the Ku klux klan. You may wonder even in the police services are operating their mission against innocent niggers!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I used it as a precedent to what you previously wrote herein, trying to trace where's your exact locality because in that story you stated being in Dar and now you're crisscrossing yet tying yosef

Do you know what precedent means?

And what makes you think I'm static and not mobile?
 
Mauaji yako dunia nzima ila mauaji yenye harufu ya kibaguzi ndiyo yanayopelekea kelele ktk swala hili.

Takwimu zimetolewa na the Washington post ripoti ya desemba mwaka jana na kumbuka blacks ni kama 12% tu ya population ya USA lakini ndo wanaoongoza kuuawa unarmed. Sababu ni nini hasa?

Haya mauaji ya weusi yasiyokuwa na sababu maalum ndiyo yanayofanya watu wapige kelele.

Halafu sijui kwa nini unashangaa watu kupigia kelele hilo swala. Weusi ni minority na ni wageni. hata itokee Tanzania wazungu kumi wauawe bila sababu maalum lazima watu wahoji. Hiyo haimaanishi kuwa wazungu wanakufa zaidi kuliko watanzania.
 
Persecution of black is an agenda of the Ku klux klan. You may wonder even in the police services are operating their mission against innocent niggers!!

Is black on black crime also the agenda of the KKK?
 
From US President Barack Obama

All Americans should be deeply troubled by the fatal shootings of Alton Sterling in Baton Rouge, Louisiana and Philando Castile in Falcon Heights, Minnesota. We...'ve seen such tragedies far too many times, and our hearts go out to the families and communities who've suffered such a painful loss.

Although I am constrained in commenting on the particular facts of these cases, I am encouraged that the U.S. Department of Justice has opened a civil rights investigation in Baton Rouge, and I have full confidence in their professionalism and their ability to conduct a thoughtful, thorough, and fair inquiry.

But regardless of the outcome of such investigations, what's clear is that these fatal shootings are not isolated incidents. They are symptomatic of the broader challenges within our criminal justice system, the racial disparities that appear across the system year after year, and the resulting lack of trust that exists between law enforcement and too many of the communities they serve.

To admit we've got a serious problem in no way contradicts our respect and appreciation for the vast majority of police officers who put their lives on the line to protect us every single day. It is to say that, as a nation, we can and must do better to institute the best practices that reduce the appearance or reality of racial bias in law enforcement.

That's why, two years ago, I set up a Task Force on 21st Century Policing that convened police officers, community leaders, and activists. Together, they came up with detailed recommendations on how to improve community policing. So even as officials continue to look into this week's tragic shootings, we also need communities to address the underlying fissures that lead to these incidents, and to implement those ideas that can make a difference. That's how we'll keep our communities safe. And that's how we can start restoring confidence that all people in this great nation are equal before the law.

In the meantime, all Americans should recognize the anger, frustration, and grief that so many Americans are feeling -- feelings that are being expressed in peaceful protests and vigils. Michelle and I share those feelings. Rather than fall into a predictable pattern of division and political posturing, let's reflect on what we can do better. Let's come together as a nation, and keep faith with one another, in order to ensure a future where all of our children know that their lives matter.
 
ila hii inaitwa piga nikupige ,nasikia huko kwa kina Nyani Ngadu polisi akikuambia mikono juu weka juu kweli ukiiweka mfukoni anakuwasha sasa inawezekana jamaa hakutaka kufuata sheria bila shuruti
 
Wako mapolisi wengi tu ambao ni hao wabaguzi wenye chuki za kutisha dhidi ya watu weusi.

Persecution of black is an agenda of the Ku klux klan. You may wonder even in the police services are operating their mission against innocent niggers!!
 
Hivi marekani kuuana ni issue simple sana eenh? Yaani kama movie vile aisee.

So sad!
 
Back
Top Bottom