PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
2030 gombea Urais, itakuwa fursa kwa nchi yetu kupata Rais mwenye akili toka tupate Uhuru na tutaitumia fursa hiyo vizuri.🙏
Mimi sitaki MADARAKA, kwasababu sina huo ujasiri wa KUUA watu.
 
Kinachotakiwa kufanyika kwanza ni mabadiliko ya katiba,ili mambo mengi ambayo ni kero kwa Watanzania yapate kutafutiwa ufumbuzi ikiwemo kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

Natambua utauliza tutaipataje tume hiyo wakati Serikali haina nia ya kufanya hivyo?

Huenda tunataka matokeo ya haraka, Raisi ameahidi kufanya mabadiliko ya katiba hivi karibuni

Basi tuwe na subira na tujue ukwelli uko wapi
Mkuu kama kumbukumbu zako ziko sawa. Hii ni mara ya kwanza CCM kuahidi mabadiliko ya Katiba?
 
Mwerevu ni nani mkuu serikali au waandamanaji? Binafsi ningewaacha tu waandamane huku wakilindwa na kusimamiwa na police. Kuzuia wananchi kuandamana ni gharama kubwa sana isiyo na tija. Kuweka waandamanaji ndani mpaka 2030 itakua ni kukosa utimamu wa akili pia.
 
Mkuu kama kumbukumbu zako ziko sawa. Hii ni mara ya kwanza CCM kuahidi mabadiliko ya Katiba?
This time matukio ya 29 October yamewafundisha kitu watawala,kuna changes zinakuja
 
Mwerevu ni nani mkuu serikali au waandamanaji? Binafsi ningewaacha tu waandamane huku wakilindwa na kusimamiwa na police. Kuzuia wananchi kuandamana ni gharama kubwa sana isiyo na tija. Kuweka waandamanaji ndani mpaka 2030 itakua ni kukosa utimamu wa akili pia.
Wananchi wanatakiwa kuwa werevu wasirudie kufanya makosa ambayo yalitucost last time

Haijalishi Serikali inadhumuni gani ila jukumu la usalama na uzima wako lipo mikononi mwako
 
Wananchi wanatakiwa kuwa werevu wasirudie kufanya makosa ambayo yalitucost last time

Haijalishi Serikali inadhumuni gani ila jukumu la usalama na uzima wako lipo mikononi mwako
Jukumu la usalama na uzima wangu ni la serikali pia. Ya Oct 29 wala hayana mjadala. We all saw what happened. Someone made a big mistake. Nakuombea uzima mkuu sote tushuhudie "karma" inavyofanya kazi. "Karma" haijawahi kumwacha mwovu salama.
 
Gharama kubwa sana imetumika kuzuia maandamano.

Kurusha Helkopita nyingi nchi nzima

Posho kwa maaskari.

Taswira ya nchi na reputation ya JWTZ imekufa.

Uchumi unasimama, kila.siku watu wanakaa ndani.

Ukianfakia haya yote yangewe,a kuepukika vizuri tu, kama tusingekuwa na Rais asiye na akili
Kumbe una IQ ya Paka a.k.a Nyau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom