PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ERTUGRUL BEY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
11,641
Reaction score
21,713

My people,

Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu

Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi

Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako

This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030

Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako

Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani

Ni hayo tu!
 
Gharama kubwa sana imetumika kuzuia maandamano.

Kurusha Helkopita nyingi nchi nzima

Posho kwa maaskari.

Taswira ya nchi na reputation ya JWTZ imekufa.

Uchumi unasimama, kila.siku watu wanakaa ndani.

Ukianfakia haya yote yangewe,a kuepukika vizuri tu, kama tusingekuwa na Rais asiye na akili
 
2030 gombea Urais, itakuwa fursa kwa nchi yetu kupata Rais mwenye akili toka tupate Uhuru na tutaitumia fursa hiyo vizuri.🙏
 
My people,

Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu

Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi

Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako

This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030

Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako

Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani

Ni hayo tu!
Naunga mkono hoja
 
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama leo kungekuwa hakuna ulinzi mkali halafu wananchi bado wagome kutoka kuandamana!
Itakuwa haina maana ya kuwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, na jukumu lao kikatiba na kisheria ni kuhakikisha nchi na watu wake wanaishi kwa amani na utulivu ili waweze kufanya shughuli zao za maendeleo.
 
My people,

Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu

Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua wapitie wapi na kutokea wapi

Damu ya kutosha ilisha mwagika hatuhitaji nyingine imwagike,tusikurupuke kwa mihemko ambayo haina tija Linda uhai wako na kiwiliwili chako

This time ukibahatika kuwa hai ni vizuri ila ukidakwa kuwa tayar kukaa ndani mpaka term ya mama iishe 2030

Ndio maana nasisitiza ndugu zangu Linda uhai wako na kiwiliwili chako

Andamana for ur own risk, kikubwa tusiwaone mnakuja kulialia hapa jukwaani

Ni hayo tu!
Asante sana nifer
 
Nini kifanyike kukomesha wizi wa kura, utekaji, mauaji?
Kinachotakiwa kufanyika kwanza ni mabadiliko ya katiba,ili mambo mengi ambayo ni kero kwa Watanzania yapate kutafutiwa ufumbuzi ikiwemo kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

Natambua utauliza tutaipataje tume hiyo wakati Serikali haina nia ya kufanya hivyo?

Huenda tunataka matokeo ya haraka, Raisi ameahidi kufanya mabadiliko ya katiba hivi karibuni

Basi tuwe na subira na tujue ukwelli uko wapi
 
Nini kifanyike kukomesha wizi wa kura, utekaji, mauaji?
Kuwa na vyama vya siasa vya upinzani makini vyenye nia ya kuleta maendeleo ya kweli kwa watanzania na kuleta siasa safi na kuachana na mambo ya kikanda, kikabila na kidini.
 
Ni muda popoma upumzike hizi nyuzi zako zimekuwa nyingi mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom