Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,171
- 27,435
Hujakosea kabisa😅😅Nimekutana na mtu wa aina hiyo hapa hapa JF,
Anaitwa Binti wa zamani
Hujakosea kabisa😅😅Nimekutana na mtu wa aina hiyo hapa hapa JF,
Anaitwa Binti wa zamani
Mwanamke akijifanya mwanaume mwandiko utamuumbua siku moja vice versa is trueUnaweza kuwa na jinsia mbili jamani 😅.
Hadi watu hawawaaminj watu Tena au wamefanyiwa nini?
Najua mpwa, uko vizuri sana 🙌!mimi ni NOMA nitabaki kuwa NOMA hakuna kama mimi, kijana mmoja shupavu na jasiri 🐸
Unakuwaje na hamu na kitu ambacho hukifahamu?sijawahi kunywa bia leo nahamu nayo madame
Unataka ujitetee ama?Hebu niokotee mawe mdogo wangu halafu usogee pembeni kidogo, nimuonyeshe kitu!
View attachment 3623224
Dah! Kazi kweli kweli
Nimetulia 😂Tulia ma mtu
Ndo maana Huwa najiuliza sana wanawezaje?Mwanamke akijifanya mwanaume mwandiko utamuumbua siku moja vice versa is true
View attachment 3623238
Kaingia kwa miguu miwili 😎Huyo kaka kaingiaje humo ndani 🙆
Kuna ile unaona mtu anakunywa ni kama anapata vibe hiviNajua mpwa, uko vizuri sana 🙌!
Unakuwaje na hamu na kitu ambacho hukifahamu?
Ngoja nilandue ubongo nije kukutetea kwa wivu mkubwaMimi najuaga wewe ndo mtetezi wangu 😛
Wanaweza sana tu hivi leo hujatoka kuona live bandNdo maana Huwa najiuliza sana wanawezaje?
Akimeza na wewe unameza mate😅
Hujakosea kabisa😅😅
Unataka ujitetee ama?
Fanya hivo jamani.Ngoja nilandue ubongo nije kukutetea kwa wivu mkubwaView attachment 3623244
Ah kumbe unaelewa kabisa bwashee hebu kula tanoAkimeza na wewe unameza mate😅
Wavuvi humu usipokua makini utajikuta ndani ya siku 30 yenye masaa 720 , umevaa chupi masaa 32 tu, kaa kimastaWengine wana sura mbili ili wafanye uvuvi kwa utulivu zaidi
Kuvua samaki mkubwa inabidi uwe na sura mbili
1 kwa ajili ya kumvua samaki
2 kwa ajili ya kumchuna magamba
DUMU DANIELS 😂Ngoja nilandue ubongo nije kukutetea kwa wivu mkubwaView attachment 3623244