Kivipi watoa hongera!!?
😂 😂 😂 😂 😂
Pole sana mkuu na asante kwa ushauri.Suala la vidonge vyenye Sulfur mlichukulie serious sana, Mwaka 2018 hizo Metakefrin zilitaka kumuuwa mke wangu, ni bahati tu alipona lakini hali ilikuwa mbaya ngozi iliungua yote hadi mdomoni na ingawa hakupata madhara kwenye viuongo vikubwa kama Ini ingawa macho hadi leo yanamsumbua
Pole sana mkuu na asante kwa ushauri.
Kwa kifupi kuleni natura herbs na spices tu hutakaa usikie malaria wala ugonjwa kirahisi mwilini. Na hapo ndipo wenzetu wahindi wanatushinda. Wametujengea hospitali wanatumaliza na dawa ila wao huko hospitali hutawaona. Nenda kafanye research Agakhan, TMJ, Regency, Hindumandal, Muhimbili na hospital zote kubwa kama utawakuta. Japo population yao ni ndogo lakini ukweli spices na vitu vingine vya asili ndiyo vinawafanya wanakuwa fit muda wote. Mimi niko huko kwa spices and herbs tu ndiyo chakula changu kila siku asubuhi kabla ya breakfast and jioni 3 hours after supper ni lazima ninywe kitu cha asili. Less Sugar, less Carbohydrate, alcohol occasionally less red meat, etc
Superb Mkuu. All the bestNakubaliana nawe mkuu, kuna mhindi nilikuwa naongea naye kuna muda tukafikia kujadili mambo ya misosi. Alinieleza aina ya vyakula vyao nimeanza kupractise ktk familia yangu kwa ajili ya afya njema.
Yaani ukinywa hiyo dawa, utapata maluweluwe hujawai kupata.Hii nayo ni Balaa nakumbuka kuna Dada mjamzito alimeza bila kujua aisee alikata. Hizi nazo ni balaa tupu hasa kwa wajawazito
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu... Kwamba anakoelekea atakuwa transparent au?[emoji23][emoji23][emoji23] nikama inachekesha lakini pia inaudhunisha maana hatujui inaweza leta madhara zaidi ya hapo ya kuwa albino.
ScamHafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino.
Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo alizotumia.
Madiliko yalianza taratibu kama ngozi yake kukosa ungavu. Aliporudi kwa madaktari alikosa kupata dawa ya kuweza kumrudisha katika hali yake ya mwanzo lakini walimpa ushauri wa kutumia chakula bora kama mboga za majani na matunda.
miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake unawingi wa madini ya Sulphur
Masokola kwa sasa anatumia sunscreen ambayo inatumiwa na albino kwa kuwa ngozi yake humuuma sana akipigwa na jua.
View attachment 1362696
Umeambiwa huwa na madhara zaidi kwa mtumiaji mwenye mzio(Alegy)mi ndio dawa ninazomeza wala havina tatizo lolote tatizo lipo kwa huyo mtumiaji,bongo ingejaa maalibino wengi wa ghafla