Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweee [emoji44]

Suala la vidonge vyenye Sulfur mlichukulie serious sana, Mwaka 2018 hizo Metakefrin zilitaka kumuuwa mke wangu, ni bahati tu alipona lakini hali ilikuwa mbaya ngozi iliungua yote hadi mdomoni na ingawa hakupata madhara kwenye viuongo vikubwa
kama Ini ingawa macho hadi leo yanamsumbua
Ni bahati mbaya kwamba wabongo hatuangalii afya zetu kabla , kuna wakati kulikuwa na kesi polisi kuhusu mtja kuuziwa dawa iliyombabua , Polisi wakakamata Mwenye Pharmacy lakini baadaye TFDA Wakaingilia na kutaka mwenye duka aachiwe kwa vile jambo la kujua vinavyomdhuru mtu linamhusu mtu mwenyewe , na kwa vile dawa iliuzwa kihalali mahali sahihi duka haliwezi kubebeshwa lawama
 
Nakuamini100% mimi nilikuwa muhanga wa kunywa dawa kila baada ya wiki mbili eti nina malaria, na dalili zote nasikia!
Ilitokea nikakaa miaka mitatu kwenye eneo ambalo halina haya mauzauza ya malaria, nilivyorudi Dar hii, miezi kama sita nikapata tena zile sign za malaria sikunywa dawa nilipona na hadi leo sijawahi pata tena miaka miwili sasa.

Hebu nipe kaujanja kako nisaidie wanaougua bado.
Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino.

Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo alizotumia.

Madiliko yalianza taratibu kama ngozi yake kukosa ungavu. Aliporudi kwa madaktari alikosa kupata dawa ya kuweza kumrudisha katika hali yake ya mwanzo lakini walimpa ushauri wa kutumia chakula bora kama mboga za majani na matunda.

miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake unawingi wa madini ya Sulphur

Masokola kwa sasa anatumia sunscreen ambayo inatumiwa na albino kwa kuwa ngozi yake humuuma sana akipigwa na jua.

View attachment 1362696

Naomba hizo metakeflin atumie albino huwenda rangi ikabadilika akawa mweusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuamini100% mimi nilikuwa muhanga wa kunywa dawa kila baada ya wiki mbili eti nina malaria, na dalili zote nasikia!
Ilitokea nikakaa miaka mitatu kwenye eneo ambayo halina haya mauzauza ya malaria, nilivyorudi Dar hii, miezi kama sita nikapata tena zile sign za malaria sikunywa dawa nilipona na hadi leo sijawahi pata tena miaka miwili sasa.

Hebu nipe kaujanja kako nisaidie wanaougua bado.
Nilikuwa kila baada ya wiki mbili naumwa malaria na natumia dawa, baadaye nikaona ngoja nisimeze dawa nione nini kitatokea. Ilinipelekesha kama wiki hivi after that ikapona yenyewe. From that day inakuja napata dalili kama siku tatu hivi naipotezea na inapotea yenyewe. Ni zaidi ya miaka 3 sasa sijatumia dawa ya malaria. Mwili umejitengenezea kinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bahati mbaya kwamba wabongo hatuangalii afya zetu kabla , kuna wakati kulikuwa na kesi polisi kuhusu mtja kuuziwa dawa iliyombabua , Polisi wakakamata Mwenye Pharmacy lakini baadaye TFDA Wakaingilia na kutaka mwenye duka aachiwe kwa vile jambo la kujua vinavyomdhuru mtu linamhusu mtu mwenyewe , na kwa vile dawa iliuzwa kihalali mahali sahihi duka haliwezi kubebeshwa lawama
Kwakweli dawa zenye Sulfur ni za kuogopa sana, kwa namna nilijionea kwa wife ni hatari hadi madaktari walisema huwa ni bahati tuwengi hufariki haraka sana
 
Wakuu cheza na dawa ila dawa yenye suphur na mwili wako ni allegic kwa sulpher acha kabisa. Binafsi dawa za Sulphur zilianza kunikataa taratibu miaka ya 80s nikawa nikimeza Chloroquine, Metakelfin Quinin au dawa zote za Malaria zinazoishia na in basi mwili ulikuwa unawasha sana silali wiki mbili. Mungu saidia nikaja kupata dawa ya kienyeji wa malaria nilipewa na wazazi nikawa siugui tena malaria toka miaka hiyo ya 80s. Mwaka 2007 nikaugua malaria (over 25 yrs toka nilipougua malaria) nikapewa dawa inaitwa Duocotexin na ilikuwa karibu initoe roho maana kumbe reaction yangu ya mwili kwa Suphur ilikuwa iko juu kwa umri huo wa kiutu uzima. Nilivimba uso na midomo lips zote niliungua kabisa na mpaka leo lip ya chini ilibaki na mabaka meusi kabisa hapa na pale mithili ya wale wanywa gongo au wavutaji sigara ambao midomo imeugua. Yaani nikabaki na kilema cha lips na sasa ukiwa mwanaume huwezi paka hata lipstic au lipbalm kuficha hizo black patches.
Africa au third world tumekuwa testing ground ya dawa za Wazungu. Kule kwao hakuna Malaria na kwetu ndiyo wanatutengenezea dawa za kila aina kila kukicha hasa hizo za malaria ni tabu sana sana. Mungu anawaona hawa watu hawatutaki kabisa.
 
2010 viliniletea muwasho wa hatari toka hapo sivitumii tena
 
Kwa kifupi kuleni natura herbs na spices tu hutakaa usikie malaria wala ugonjwa kirahisi mwilini. Na hapo ndipo wenzetu wahindi wanatushinda. Wametujengea hospitali wanatumaliza na dawa ila wao huko hospitali hutawaona. Nenda kafanye research Agakhan, TMJ, Regency, Hindumandal, Muhimbili na hospital zote kubwa kama utawakuta. Japo population yao ni ndogo lakini ukweli spices na vitu vingine vya asili ndiyo vinawafanya wanakuwa fit muda wote. Mimi niko huko kwa spices and herbs tu ndiyo chakula changu kila siku asubuhi kabla ya breakfast and jioni 3 hours after supper ni lazima ninywe kitu cha asili. Less Sugar, less Carbohydrate, alcohol occasionally less red meat, etc
 
Teh teh ww kama mimi.. Karibu mara 2 nikawa napata muwasho na dushe linavimba na tako la kushoto. Toka wakati huo nimeachana nazo kabisa
Hizi dawa kwa kweli acha tu!mwaka juzi nilimeza baada ya kugundulika nina maralia!!aisee bwana bwana,bila kujua si zikaja kuunguza maiki[emoji16]!!yaani ilikuwa balaa kwa shemeji yenu akajua nimechepuka nimelivagaa gonjwa la zinaa!ilikuwa balaa na noma kilo mbili!!!ikabidi nirudi hospital nimuonyeshe doctor !!ndo kugundua nina aleji nazo ndo maana imeunguza mpaka "maiki"[emoji16][emoji16][emoji23]

Hata mimi Imeniunguza kama mara 3 Mpaka Kuja Kuigundua aisee,.
 
Asante mleta mada na wachangiaji, nimejifunza kitu..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Jambo likitokea at least tujifunze ,kunywa dawa bila kujua kama una allergy nayo nikuyaita matatizo, dawa yenye Sulphur si nzuri inaweza ikaziharibu melanin pigments . Ni kama ile inayowasaidia watu kupata giant molecular structure 😂😂😂😂
 
Kwa kifupi nasema mkome wote! Mimi mara ya mwisho kutumia dawa ya kitu kinachoitwa maralia ni mwaka 1999. Tena ilikuwa chroroquin, baadaye nikaacha kabisa kuumwa maralia hadi leo, maralia is a hoax..ni ugonjwa fake.
Kipo kitu kingine kinachosababisha dalili zinazoitwa maralia, ila wajinga sisi tumefichwa, unaambiwa una maralia unatibia maralia kumbe unatengenezwa ili uwe mteja. Hahah
Siumwi na sitaumwa maralia, dawa nshaijua, sio hospitali.
Yaani kuku aumwe na mimi mwenye akili niumwe, haiwezekani. Endeleeni kuumwa ninyi kuku na ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
How do you do?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom