Mtu anakuja room hivi…!

Mtu anakuja room hivi…!

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Mtu anakuja hivi room kwako, anajilaza laza hivi kwa sofa lako, then anasem lets just be friends
 

Attachments

  • 1433774749341.jpg
    1433774749341.jpg
    23.9 KB · Views: 2,232
We atakuwa na lake jambo sio bule, hapo cha kufanya na wewe ni kujilaza na boxer na tu tena kifua wazi
 
Hata kabla hajamaliza kuongea huo upuuzi wake mi tayari nitakua nshakuwa dj nekedi

Haha, utakuwa unapiga gitaaa taratibu, huku jina lako linaitwa kwa mbaaali
 
ukiona hivyo ujue ana ngoma uyo!

Mmh ndo akufate fate hivo mkuu

We atakuwa na lake jambo sio bule, hapo cha kufanya na wewe ni kujilaza na boxer na tu tena kifua wazi

Ila unajua utakuwa humkomoi mkuu

Huyo atakua analambo.
Unaweka muwa wako fasta

Duh, hii mitego mingine, hata sisimizi ananasa
Huu mtego mdogo lakini ata tembo hakati kamba hiii

hamna namna unaonja tu
Au unampiga spear kama ya Batista kama haelewi
 
Kwanza ni dharau kwa yeye kuja kwako hivyo.
 
Au unampiga spear kama ya Batista kama haelewi[/QUOTE]

atashangaa baadae sana
 
Back
Top Bottom