Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,278
- 37,073
Yaani mtu yupo korokoroni na ana kesi ya kujibu, hayo maisha yake yamekua hatarini lini? In fact kwa uchochezi, uharibifu na maafa alioyoyachochea na kutokea, wananchi wanaweza kua na hasira nae, but kwa uimara na umakini wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, uraiani hakuna tena rooms for criminals. All criminals belongs to jail.
Eti aende tu akaishi uhamishoni ughaibuni.
Halafu eti pale HQ kwenye chama chake viongozi wake wasivyojielewa eti wanapanga namna atakavyotoroka au kuikimbia nchi na kuelekea huko uhamishoni kwa mabwenyenye ya magharibi waliomtuma kuleta fujo Tanzania.
Hivi my friends, ladies and gentlemen, hata ukimtazama usoni mwake tu huyo kibaraka, unadhani anaikimbia nchi au anawakimbilia mke na watoto wake huko ng'ambo, ambapo amewamisi sana?
Unadhani ikiwa itatokea hivyo,
kuna siku huyo kibaraka atafikiria au atatamani au atajaribu au atathubutu kurudi tena Tanzania na kukiuka sheria na katiba ya nchi kwa makusudi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania