Mimi49, kupenda ni hisia, huja popote na wakati wowote na ziko huru, tunatakiwakwanini umpende mtu asiyefaa kuwa mke?
Mi nimegundua moyo ni mdanganyifu sana .. Oa anaefaa kuwa mke au olewa na anaefaa kuwa mume! Moyo ni zoazoa sana!
Mi nimegundua moyo ni mdanganyifu sana .. Oa anaefaa kuwa mke au olewa na anaefaa kuwa mume! Moyo ni zoazoa sana!
Mimi49, kupenda ni hisia, huja popote na wakati wowote na ziko huru, tunatakiwa
kuzi kontrol kwa kutumia utashi pale tunapoona hazipo sahihi.
inawezekana ukavutiwa na mtu lakii ukagundua hana sifa unazotaka.
kama unapenda ndoa moyo lazima uweke mbali kidogo aisee! kama unapenda ndoa lakiniNimeipenda sana hiyo red!
kwanini umpende mtu asiyefaa kuwa mke?
Kumbe majibu yote unayo!Mimi49, kupenda ni hisia, huja popote na wakati wowote na ziko huru, tunatakiwa
kuzi kontrol kwa kutumia utashi pale tunapoona hazipo sahihi.
inawezekana ukavutiwa na mtu lakii ukagundua hana sifa unazotaka.
unaweza ukampata mtu unayempenda kwa dhat lakini akakuumiza kichwa na ukakosa amani ya maisha na vilevile ukajutia kuwa naye lakini ukimpata mwanamke anayefaa kuwa mke basi naamini vikwazo havitakuwa vingi katika maisha yako na utaenjoy maisha ya ndoa.....so unaweza kuwa na mwanamke usiyempenda lakini unaona kabisa anafaa kuwa mke na ukajifunza kumpenda.Wakuu wa janv,
Mimi nina kaswali ambako kwakweli hunitatiza.
Kabla sijauliza naomba niweke marital status yangu kua ni single, na
niongeze kua sina mtu yeyoye in target kwa sasa. Lakini niseme pia kua,
hua natamani siku moja niwe na mke na watoto na nilee familia yangu.
Swali lenyewe: Hivi tunatakiwa kuowa mtu unaempenda au mtu unaeona anafaa kua mke?
naamini sio kila unaempenda anaweza akawa mke, lakini pia sio kila anefaa kua mke utampenda.
Naombeni jibu.
Wakuu wa janv,

Better unaempenda for some extent ni rahisi kuvumilia mapungufu yake
Kuoa anaefaa ukaja gundua hafai kwa kiasi ulichoxpect lazima ujute na hili ndilo linalokumba waoaji wengi wa zama hizi.
Jifunze kwa wale waachaga warembo wao na kuoa sura ngumu(kwa kujidanganya ndio wife material) cha ajabu hata mwaka haukatiki utakuta wanaangaika na small house