Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Nipo Mama Land karibu FFU Ukonga,muziki munene na kila mtu kapendeza.
 
viber apa moro, yeyote aliye jiran aje apate japo mbuzi choma
 
Nipo magomeni mapipa hapa makaburin geti la kuingilia karibun tujuane
 
nipo ndanda mkorosho haramu napata supu ya samaki nchanga na gongo,karibuni sana wana JF
 
Kakwambia anaitaji umnunulie kitu? mtu yupo na mambo yake na budget zake, wewe unaanza maneno mingi mingi, kasema sogea msalimiane, ushaanza waza kakwambia hana budget ya kutumia, tuweni waelewa
 
mie nipo Oval house hapa kazi tu! tumieni blue tooth au kwa pm nami nifaidi
 
Nipo home lkn naelekea kanisan baadae kudogo kkkt Boko kuna mwanajf tuonane tukafungue wote zawadi
 
nipo ambiance na nunua madada poa nijipoze ni mihangaikonya dunia kama kuna dada poa yupo humu jf tuonane ambiance
 
Nyie ndio mmejua sehemu za kwenda........sare sare.......ila marejesho nipo njia moja hapo ulipo.......tafadhali tuonane tufungue zawadi...........

Sasa mama kama uko Moshi si uchepukie hapa Arusha chaap....ni vizuri wana JF kufahamiana...usijali any shocks will be absorbed by me
 
Last edited by a moderator:
Oooh......kumbe upo KV......kesho nitakuwa UK.......kuna hafla kidogo kule........

Preta;
Nikapanda mpaka pale Lusaka kununua nyama. Nimekodoa mimacho nilipopita pale Church UK wala sikukuona. Vipi au na weye ulikuwa pale kwenye msiba?
 
Back
Top Bottom