Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,777
Reaction score
31,284
Nipo Meku's Bistro-Moshi,mwana jf uliye jirani tujuane hapa hapa kabla sijaenda Kenya.
 
Mie nipo samaki samaki mlimani city yoyote aliye karibu tufahamiane nimpe bia kadhaa
 
Nipo Adkam Hotel jijini Mwanza ila muda si mrefu ntakua Villa Park kucheki live band. Wa Mwanza mwezangu tuonane
 
Nipo Makumba Bay Moshi kwenye kiboti hapa nje........kuna mwana JF asogee tumalizie Xmas............?......
 
aliye karibu na rwezaura singida karibu juice
 
Nipo Kimara stop over nataka nilale sitaki Kesi siku yenyewe moja hii
 
Nipo kilabu cha tupendane hapa malizia lita ya nne chimpumu mwana jf aliyepo asogee hapa tuagize na mbege.
 
Back
Top Bottom