Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

preta mbona unachanganya uko black diamond ama???
 
amba nukeri kwi ulauoye billi ma kitutu lotaya wosee
 
doh mchana kipunyenye kilikuwa kimara kwa wazee, saa hz nipo jumba la dhahabu nimelala, karibuni kulala mkitoka kupombeka
 
marejesho ngicha ngama ulakuso kuore ma mndu nakeri kansani woii uyana mbicho
 
tusalimiane tu jamani ntakuwa na ndugu wa kike wasioolewa hapo 0767975798

muwe na amani tu wanajilipia alafuu leeeee wanyooooo leka tupuu waicha sukutua wanda
 
sim preta anazingua

yuko mbistro gafla yuko diamond.b..katoka kinembe bar uwii nkasema jamani tunalipa aseme tu yuko wapi niko na single dadaday leo
 
ndugu wakae kwa pamoja wenye nia moja akuna wenye billi moja msiogope tusalimiane kwi kwi
 
Nipo Adkam Hotel jijini Mwanza ila muda si mrefu ntakua Villa Park kucheki live band. Wa Mwanza mwezangu tuonane

Adkam hapo uswaz😀😀😀 ghorofa ni Royal Furnishers & Adkam, si bora uje Adden hapa Iloganzala
 
Nipo Lidoz strip club hapa river road, mwana jf alie Nai asogee apa down town asafishe nyota
 
Back
Top Bottom