Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Nipo Toronto canada hotel moja matata Swirnling Hotel karibuni wadau mwaka mpya ntakua Tz
 
nipo Kiwira-kisungu,Mbeya lita za komoni zakutosha karibuni wadau!
 
Nipo Meku's Bistro-Moshi,mwana jf uliye jirani tujuane hapa hapa kabla sijaenda Kenya.

Mbona mnataka kuigeuza jf kuwa sehem ya udaku.. Heading ni tofauti na content.
Kwan ungeandika kulingana na hitaji lako usingefanikiwa?
 
nipo na mashost zangu........njoo.....

Wee! Nani aje kulipa billi? Nilishawahi kuambiwa na dada mmoja niende nitamkuta hotel flani. Kufika yuko na shost zake na wameshakula mamisosi ya gharama. Basi kidume kufika pale nikaishia tu kulipa billi.
 
Heading hiyohiyo mkuu ina mashiko!Preta upo hapo kweli?Ila Meku's Bistro pako kikubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom