Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

Wachaga mnakula wapi wenyewe jamani niko mjini msiogope najinunulia
 
Hahaa ryan hapo mswano usitoke kama uwanja benjamini......

Unapata raha mara mbilii....
 
Wenye kuelekea black diamond kusuuza sura hapa moshi niko njian jamani ...hiv pub alberto aijafa??
 
Walaaah andikeni kichwaa cha habariii


"""EKOOTIKEEEE EKOTIKEEEE EKOTIKEEEEE""""
 
M wala msinipm tuchekiane tu 0767 95798...ni ya mshikaji
yangu meandikwa pdidy consul....,msije hisi nimewauza
 
sim unaogopa garama salimia tu jamani ma nahamu niwasalimiee watu wa moshi
 
Wee! Nani aje kulipa billi? Nilishawahi kuambiwa na dada mmoja niende nitamkuta hotel flani. Kufika yuko na shost zake na wameshakula mamisosi ya gharama. Basi kidume kufika pale nikaishia tu kulipa billi.

Huo ndio uanaume kamanda wangu......unakomaa hadi tone la mwisho.......
 
Wenye kuelekea black diamond kusuuza sura hapa moshi niko njian jamani ...hiv pub alberto aijafa??

Ndio nipo hapo nimeondoka Makumba muda si mrefu.......njoo basi hata unywe moja.......
 
Wachaga mnakula wapi wenyewe jamani niko mjini msiogope najinunulia

Wamnango saa siphoi......nutemia xmas iyoo.......tchaaa.....ni inyi tiki ngikeri necha...........
 
ngich ulaklukuri ulaondoke ulakuso woii wainyoo plisneer au nkikii???ngenenga pm no ngikukapie ngashika
 
Even if it's maulid, last year I had the company of 2 women who drank like sharks. I have since learnt to be cautious.

Sisi hatunywi kama sharks bana......halafu hatulazimishi ulipe......you are my guest......utadeal na mimi tu.......njoo bana.....pamehappen.......
 
Back
Top Bottom