Mtingozi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 248
- 261
Nipo tandale hapa kituoni
Mkuu kituo cha afya au?
Nipo tandale hapa kituoni
Ila ndugu yangu hebu badili heading kwakuwa haiendani kabisa na maudhui
Niko mpitimbi hapa nakula ndogo.
Preta;
Nikapanda mpaka pale Lusaka kununua nyama. Nimekodoa mimacho nilipopita pale Church UK wala sikukuona. Vipi au na weye ulikuwa pale kwenye msiba?
oooh......mkuu...ndio najiandaa kwenda kwenye ibada hapa Ngaruma......mi ni wa kipande hii meku.......lakini ngechiirhime iche kuirikira.......
Dada naomba namba yako mie nipo Villa, Nimeshakulipia kiingilio