mtoto wa nyoka ni snake....

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
145.jpg
 
Sasa kama baba anakuwa mtu wa totoz ndo dogo anarudi na 'ngoma' tu.
 
shuleni hapakutosha siku hiyo. Dingi acheki kwenye skull begi kama hakuna barua ya kufukuzwa shule
 
Labda kulikuwa na nyoka kwenye mazingira ya shule jamani, na akaamua kwenda na chuma ili ammalize?...angeua mtu asingekuja nyumbani kwa miguu yake!...huh!
 
hakuua wengi ila teacher wa darasa lake tu ,kwani report ya ku boronga mitihani ingetua home kifo kingekula kwake!
 
Labda kulikuwa na nyoka kwenye mazingira ya shule jamani, na akaamua kwenda na chuma ili ammalize?...angeua mtu asingekuja nyumbani kwa miguu yake!...huh!
haaa PJ nyoka tu ndo akamtafutiecha moto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom