Mtoto wa nje ya ndoa

Nimepitia michango ya wapendwa ni mizuri sana JF ya miaka mitano iliyopita ilikua nzuri tofauti na ya sasa weledi wa uchambuzi na uchangiaji mada unazidi kupungua siku hata siku
 
Dada, kwanza pole kwa uliyopitia na unayoyapitia.
Muda ulikuchukua kumficha mumeo inafanya kuwa ngumu zaidi kusema ukweli sasa. Sisemi usimwambie ila jiangalie kwanza kama upo tayari na yatakayotokea, fikiri namna ambavyo jamaa ataumia na kufadhaika akiandamwa na msongo wa mawazo na aibu ya hali ya juu.
Fikiria ''bond'' iliyoko kati ya mtoto na baba ambaye si wake, halafu leo uje useme kuwa hao wawili hawahusiani? It's a death sentence.

“Secrets and lies; everyone in the world deals with these every day of their lives. To protect themselves. To protect someone else. It is all in the way that you look at the situation.”

You need to protect the kid and your husband.
 
Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,

Naomba msaada katika jambo hili.
.

Dada, kwanza pole kwa uliyopitia na unayoyapitia.
Muda ulikuchukua kumficha mumeo inafanya kuwa ngumu zaidi kusema ukweli sasa. Sisemi usimwambie ila jiangalie kwanza kama upo tayari na yatakayotokea, fikiri namna ambavyo jamaa ataumia na kufadhaika akiandamwa na msongo wa mawazo na aibu ya hali ya juu.
Fikiria ''bond'' iliyoko kati ya mtoto na baba ambaye si wake, halafu leo uje useme kuwa hao wawili hawahusiani? It's a death sentence.

“Secrets and lies; everyone in the world deals with these every day of their lives. To protect themselves. To protect someone else. It is all in the way that you look at the situation.”

You need to protect the kid and your husband.
 
MKUU umenifundisha kitu jamaa alijuaje kama ni mtoto wake.ila aseme tu ukweli mimi ningeelewa ila ndoa ingeisha kwa amani tu.
 
vyovyote iwavyo ningekuwa mimi ningeupokea ukweli ila niwe honest nisingekutana nawewe kimwili tena,ila ningekuhudumia kwa hali zote amini hivyo.wasi wasi wangu ni kwamba asije akakudhuru kwa kipigo,nakipigo chenyewe kiwe kibaya.namizingirwa na hofu kuu maana wanaume wengi si wastahimilivu.Napenda umwambie ili uwe huru lakini naogopa madhara yake.je huwezi kutafuta watu wenye hekima wakamwambia angalau kusiwe na madhara nakubwa.nisichotaka mimi ni wewe kudhuriwa.Mungu akuongoze aisee,pole sana
 
Every thing has a price . That is the price you have to pay for your infidelity and the situation will worsen once your husband finds out about this. For now enjoy the psychological torture that you have to enjoy until the Dday
 
Hakuna mtoto wa nje ya ndoa!dhana ya ndoa au sio ndoa ni mindset tu inatokana na mahubiri na cheti!!!Ndoa ya kweli ni ile ulipovunjwa bikra ya kiume na kike!hizi nyingine hzi ni tafrija tu za misosi na kukuza taasisi!!!
 
Aisee pole sana,, huyo mumeo unamjua vzr kuliko mtu yyt mwingine,,so fikiri vema kabla hujafanya maamuzi ya kumweleza au kutomweleza, kwasababu ukweli ni kwamba unateseka na hilo na je utakua tayari kulipa garama? Je vp kuhusu maumivu utakayoyapata baada ya kumweleza ukweli endapo atachukua hatua ya kuachana na ww? Ni makubwa au madogo kuliko hayo unayoya feel sasa? So think big madam before you act,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikissa sazna kumwambia una ujauziyo wake. Ungeitoa mimba ama kukaa kimya mtoto akabakia wa huyo mumeo. Pili usidhani mumeo hajui hilo. Binadam tumeumbwa kwa namna ya pekee sana. Kati ya watoto dam yake na huyo wa pembeni kuna hali fulani anahisi ila wanaume huwa tunakaa nayo moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijidanganye,ilukikwambia tu jiandaa kuindoka hakuna ndoa hapo.Wanaume ktk vitu ambavyo hatuwezi kusamehe ni kusalitiwa. ten wewe umebeba mimba, ukazaa na mtoto.Yaani kaaa kimyaaa milele utawasha moto usiozimika ukutaka kuamini kamuulize baba yako sio mama yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua hii habari iliishaje? Ni miaka 12 sasa inaelekea kupita.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…