Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Kama mbunge kweli anatetea wanyonge,na ameona ni vyema kumpeleka mtoto wake shule yenye mkondo wa kiingereza(English medium school),basi ni vyema akapeleka muswada binafsi bungeni "Serikali ibadilishe mfumo wa elimu ili Watanzania waweze kunufaika na shule kuwa na michepuo ya kiingereza",na aombe kujua ni lini Serikali itafanya utafiti na tathimini ya namna ya kubadili mfumo wetu ili nchi iwe na vijana wenye kuweza kushindana kimataifa katika kutafuta maisha na fursa katika nchi za mataifa mengine.
naungana na hoja yako mkuu
 
Nikajua Mapera Makavu Secondary School, elimu bureee, na bure kwerikweriii
Mapera Makavu hakuna motivation kwa walimu ndio maana wamejichokea, wao kila siku utasikia mkurugenzi amzibua vibao mwalimu mkuu , mara mkuu wa wilaya ampiga viboko mkuu wa shule hali inayowafanya wajisikie wanyonge
 
nimesoma shule za mchanganyiko, wengi wanachelewa kupevuka na kujua nini kilichowapeleka kule, wengi wanawaza wakimaliza wajiunge na jeshi tuu.Halafu wengi wao wanapoteza muda kufanya mambo ya kuonekana wao ni wajanja kwa wanawake,nawazungumzia vijana wa kiume
Sijakataa hilo, ni kweli shule za jinsia 1 zina faida ktk kukuza ufaulu, ila pia kumbuka hasara ya mambo ya ujinsia. Nadhan umenielewa.
 
JamiiForums686279162.jpg
 
Back
Top Bottom