Mtoto wa Mkulima, katugeuka!!

Nilikuwepo, nnajuwa nilipokuwa nashindwa hata kupata sukari wala unga wala kandambili. Tanzania hii hii. Mpaka kuwa na baiskeli ilikuwa ni anasa Tanzania hii hii, kwenda Bukoba au Mwanza toka ilikuwa unakwenda na kufika kupitia Tanzania (tulipopata Uhuru), mpaka ikafikia uende Kenya ndio ufike huko baada Uhuru. Kikwete leo hii ametuwezesha kuondoka asubuhi na kufika Mwanza jioni hiyo hiyo tena ni kwa barabara na bila kupita Kenya. Au hilo hamjui?


mkapa ndio kajenga hiyo barabara kikwete kakuta kimebaki kipande cha km kilomita 100 na kachukua zaidi ya miaka mitano kukimaliza, mkapa kajenga barabara zote kubwa mwanza,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom