Mtoto Wa Miaka 14 Apewe Mimba na Mzungu

Ambition! Ambition! Ambition....hali duni ya maisha ni sababu pekee ya kumfanya mtu kuweka ubongo wake kando wakati wa kufanya maamuzi of which wenye ubongo wa daraja la kati wanachukua hiyo km advantage ya kutimiza malengo yao yasiyofaa...
 
Nawashangaa sana kumsema vibaya huyo mtoto wakati yeye ndie victim hapa. Yaani mnadhani mtoto wa miaka 14 ana akili ya kufikiria kua anacho kifanya ni kibaya wakati hajakatazwa (na kukumbushwa) na wazazi, na wakati anashawishiwa na mwanaume wa miaka 48? si kakabwa huyo? Nyinyi ndio wale wanaume mnawashawishi watoto kama hawa, mkikubaliwa mnakula tu, mkijitetea kua alitaka mwenyewe!
Kwa utandawazi huu, kijana wa form two ambaye hajui kuwa akifanya ngono bila kinga atapata mimba ni wa kushangaza sana. Anyway, ni katika umri gani mtu anaweza kuanza kufahamu madhara ya hiyo kitu?
 
Ni Mange Kimambi na U-Turn blog yake. Period, end of story.
 
duh!! Issue sio mzungu bana........angeweza kukunjuka hata na njeree mlinzi wao.
Issue hapa ni wazazi ongeeni na wanenu.

Na vijibaba fuateni mijiimama bana, waacheni watoto wawe watoto, kama nyie mliachwa mka-enjoy utoto wenu, kwa nini mnataka kuharibu utoto wa wenzenu?

Sijawahi kukugongea like lakini nimeshindwa kuwa mchoyo leo.
 
Kwa utandawazi huu, kijana wa form two ambaye hajui kuwa akifanya ngono bila kinga atapata mimba ni wa kushangaza sana. Anyway, ni katika umri gani mtu anaweza kuanza kufahamu madhara ya hiyo kitu?
Kha! kwa hiyo form two ni tosha kabisa kwa mtoto kuitwa mwanamke na kupewa mimba? kwa hali hii naona hatuja pona bado (sisi wanawake)
 
Ukifuatilia vyema unaweza ukagundua mengine ambayo hujayaanika hapa jamvini.Uwezekano upo mama alikuwa anajua na anakula vinono vya mzungu,kwani zipo cases nyingi tu kina mama wanawauza watoto wao wa kike ili maisha yaende.Hili wanaharaki wa haki za kina mama/wanawake/watoto sijasikia wakilikemea ila mimi binafsi nishawahiwafanyia interview baazi ya watoto wenye kati ya 14-17 wanaojiuza .Wazazi wao(mama) huwa wanajua na ndio wanaowatuma
 
Nawashangaa sana kumsema vibaya huyo mtoto wakati yeye ndie victim hapa. Yaani mnadhani mtoto wa miaka 14 ana akili ya kufikiria kua anacho kifanya ni kibaya wakati hajakatazwa (na kukumbushwa) na wazazi, na wakati anashawishiwa na mwanaume wa miaka 48? si kakabwa huyo? Nyinyi ndio wale wanaume mnawashawishi watoto kama hawa, mkikubaliwa mnakula tu, mkijitetea kua alitaka mwenyewe!

Sisi pia tunakushangaa wewe kwani mtoto huyo alikuwa akifanya tendo la ndoa uani kwenye kona ya nyumba ?ili tuseme kuwa bado mtoto mdogo alikuwa akicheza mchezo wa kujipikilisha tuu? unachekesha
 
Miafrika ilivyokuwa na akili za kitumwa inamsifia Mzungu aliempa mimba binti wa miaka 4...mwenye makosa anaonekana huyo binti
 
duh,hata mimi nilikuwa sijui CL ni nini,sasa nimeelimika!asante!huyo mtoto alikuwa anajua mambo ya kikubwa
 
Kama kakimbia kukwepa kesi, kampuni ya utalii inamilikiwa na ani kwa sasa? Itabidi mtoto akizaliwa arithishwe hiza au kampuni hiyo iliyomleta huyo mzungu huku TZ kufanya mapenzi na wanafunzi
 
Mie mwenzenu nashangaa tu, hivi sie mbona tulikuwaga waoga sana hata mkaka akikusalimia tu unakaza mwendo unakimbia mbio kwenda nyumbani???? Duh!
 
Mie mwenzenu nashangaa tu, hivi sie mbona tulikuwaga waoga sana hata mkaka akikusalimia tu unakaza mwendo unakimbia mbio kwenda nyumbani???? Duh!

Nyie kizazi cha typewritter ukikosea ni noma, kizazi cha DOT com wanadelete na kuendelea kama hakuna kosa lililofanyika.
 
Vishawishi tu, nuttn else, balckberry na CL this time was the case...
 
duh,hata mimi nilikuwa sijui CL ni nini,sasa nimeelimika!asante!huyo mtoto alikuwa anajua mambo ya kikubwa

hii blog ya U turn inaharibu sana mabinti maana hizo ndio story zao Mwamvita leo kavaa CL ya aina fulani mara Mange kavaa nini sijui, nimeona mabinti wengi wanajadili sana hii blogspot kuna Malaya mmoja alianza kumletea Demu wangu mambo ya CL na kumpeleka U turn nilimpa warning kali sana.
NIMESONYAJE? Ndio kamsemo kao kule U turn
 
Back
Top Bottom