While economically perfect, U-Turn is morally and socially bad and destructive for Tanzanian ladies. Period.
shame on me! hata mimi ni leo nimejua CL ni nini? just kidding....Kuna baadhi ya members wanadiriki kukataa kwamba kuna mitandao au blogs zinaleta yote haya. Well ni kizazi cha Dot com lakini bora nyingi ya hizi blog zingekuwa za kuelimisha zaidi kuliko kujikweza na kujitangaza maisha wanayoishi na kuwafanya baadhi ya wasomaji hasa watoto wadogo kama haka kabinti kwamba maisha ni kuwa na kibabu cha kizungu basi utapata vitu kama CL, Blackberry kwenda kushop overseas etc. Naipenda sana blog ya Wavuti inaelimisha na kikubwa zaidi inasaidia wengi kujiendeleza kielimu. Hizi blog za muke ya muzungu bla bla zitawaharibu mabinti wengi. Wewe usiye na mtoto utasema utakavyo kwa tulio na watoto nadhani ni woga unazidi kututawala siku hata siku. Wazazi wa kabinti wapo responsible na hili lakini hata blogs za upuuzi zijiangalie na kujaribu kurekebisha maana au ujumbe muhimu wa blog zao sio tulikula tulilala tulishop tulidance tulikis....oooops tulitongozwa na upuuzi mwingine. Wana blog watoto wenu watakuja soma upuuzi wenu siku si nyingi then you will pay the price.
Mkuu heshima yako naomba nikurekebishe kidogo na maelezo yangu. Hakuna sehemu nimetaja U turn. Nakubaliana na wewe kweli hizo sehemu ulizotaja nazo pia zinachangia katika kuharibu watoto na vijana wengi pamoja na watu wazima lakini usipinge kwamba Dot com haiharibu jamii. Inawezekana ikawa ni U turn inawezekana ni B move etc. lakini kwa ufupi Dot com inachangia sana katika kupotosha maadili katika jamii period. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.Bongfleva haiharibu watoto! Sinema za Hollywood haziharibu watoto. Bongo movies haziharibu watoto. Mabaa yaliyozagaa kwenye kila pembe ya Dar hayaharibu watu. Magesti hausi ambayo (madanguro) yamo katikati ya maeneo ya kuishi watu hayaharibu watoto.
Zamani hakuna watu waliokuwa wakiharibikiwa. Ni baada ya kuanzishwa U Turn ndo watoto wameanza kuharibikiwa. Tuanzisheni maandamano basi ya kuipinga U Turn na kutaka ifungiwe.
Mkuu heshima yako naomba nikurekebishe kidogo na maelezo yangu. Hakuna sehemu nimetaja U turn. Nakubaliana na wewe kweli hizo sehemu ulizotaja nazo pia zinachangia katika kuharibu watoto na vijana wengi pamoja na watu wazima lakini usipinge kwamba Dot com haiharibu jamii. Inawezekana ikawa ni U turn inawezekana ni B move etc. lakini kwa ufupi Dot com inachangia sana katika kupotosha maadili katika jamii period. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
Kuna watu wakiona chuchu wanaweka taswira ya vuz* na usiombe mwanaume aweke akili kwenye vukenge, hata kama yuko misa ya mazishi utaona ka-abdala kanaibuka tartiiibukama kuna kitu ambacho kinanipa shida kukifikiria na kujengea taswira kichwani kwangu, ni mtu mzima kujikunja kabisaa na binti mdogo wa miaka <18! Hivi inakuwaje, na ina starehe yoyote kweli? Seriously?! Na humu wamo tu, tumejificha nyuma ya avatar!:smash: