Mtoto wa Mfalme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mfalme

Discussion in 'Jamii Photos' started by Daudi Mchambuzi, Aug 11, 2011.

 1. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,896
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa mfalme akimsifia mfalme mbele ya raia wenye sura zenye majonzi tele. Tazama kwa makini hizi sura za hawa raia wanaomsikiliza.
  288637_116931388405726_116927725072759_101378_1623778_o.jpg .
   
 2. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mfalme yupi wa msoga?
   
 3. M

  Malabata JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dhambi kubwa wanao msikili wananjaa,jua kali ,jasho mpaka kwenye nyayo.MUNGU tuhurumie na adha hii
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kupewa nguo na buku mbili mbili lakini wana njaa ya kufa mtu.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Sijui kama wanamuelewa,wanangoja hiyo buku watawanyike.
   
 7. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Chomeni moto biashara zake,hasa vituo vyake vya mafuta
   
 8. G

  Godwinnehemia New Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamechoka ile mbaya,kweli mungu atuhurumie
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  umaskini mbaya sana
  angalia waliovaa nguo zao na hawa wa kijani duuuhh
  lazima ziwe pamba za sikukuu!!!:boxing:
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280


  Magamba bwana, yamekaa kama mazezeta vile!!!!!!!!!
   
 11. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huyo dada chini ya prince of msoga mbona kanuna hivyo? au walimlazimisha?
   
 12. millen

  millen Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa2 wanamshangaa sidhani hata kama wanasikiliza anachoongea
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mfalme wa mishen town!
  Huyo aliyenuna hapo mbele na kacha yake shingoni na nywele hajachana mwaka mzima nimwanaume au mwanamke wakuu?
   
 14. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  dada au kaka??
   
 15. wende

  wende JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mpaka nimejisikia kichefuchefuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ningejua mtoto wa mfalme ndo haya MAGAMBA,wala nisingeifungua hiyo pcha!
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  masiki, hivi huyo mdada/mkaka aliyenuna hapo mbele ya mwanamfalme amekula kweli? au ndo wanausalama wenyewe?
   
 17. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mzee huyo mbele hana shida tu ya buku bali pia kwao tshirt na kofia ni deal!
   
 18. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Silolote huyu Ritz One bin Vasco da Gamba, anatumia mgongo wa dingi yake kujiestablish. Siku ikifika kama ya walibya au misri mtaona mbio atakazo timua.
   
Loading...