Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,426
- 7,942
Pichani ni Princess Qajar kwenye Ubora wake,
mtoto wa Mfalme wa Persia (kwa sasa Iran) miaka ya 1848 hadi 1898.
Ndiye mtoto wa kike wa Mfalme aliyewapa wakati mgumu wanaume kwani alikuwa mrembo sana. Kama unavyomuona. Binti mwenye tege la KIZANZIBARI.
Qajar aliwakataa wanaume wengi sana na 13 kati yao walijiua kwa kukosa penzi lake!