Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 449
Kitendo cha makusudi kilichofanywa na mtoto wa Mh Lowasa Rais mtarajiwa cha kumgonga Trafiki katika makutano ya barabara ya Alihasani Mwinyi na Namanga . Trafiki huyo aliyekutwa na maswaibu hayo alikimbizwa katika hospital ya Mwananyamala kwa matibabu