Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .

Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..

-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..

Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
Uongo madem waki zenj tuna Wala sana sema wanachelewa kutoa mzigo, halaf kaka zao wana vivu wakiona umesimama nao tu wana kasilika hata Kama siyo dada yake
 
bado unasafari ndefu sana,r
trust me i was there...live your life tunza na hii comment
 
Huyu ndiye mke wa kuoa. Niamini mimi kama humtaki gawa namba
"ONEitis is paralysis. You cease to mature, you cease to move, you cease to be you. There is no ONE. This is the soulmate myth. There are some good Ones and some bad Ones, but there is no ONE." - Rational Male
 
Arsenal tulishinda
 
Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .

Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..

-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..

Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..

Uzanzibara wake apeleke huko na umalaya wake,
 
Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha.Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza.Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu.Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano,akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa).Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull.Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae.Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda.Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi.Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
Unasimulia ndoto au ni reality
 
"Akanipa kila kitu", mkuu unamaanisha alikupa na ule mtandao pendwa?
 
Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .

Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..

-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..

Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kubabake marikiti na kapu
 
Ndy zao wanawake wa huko,,,kutuma wanaume zao marikiti.
.kule kwenda marikiti sio wanapenda bali wanatumwa kilazima.

Ndy maana ukikutana nao marikiti wanaume wasiopenda kutumwa na wake zao ukiwaangalia usoni wengi wamenuna sana ..

Na nimepewa siri wana jf...ibaki siri humu,,wenyewe wasijuwe,,

Ila hawapendi kutumwa marikiti lakini hawana jinsi..
 
Ndy zao wanawake wa huko,,,kutuma wanaume zao marikiti.
.kule kwenda marikiti sio wanapenda bali wanatumwa kilazima.

Ndy maana ukikutana nao marikiti wanaume wasiopenda kutumwa na wake zao ukiwaangalia usoni wengi wamenuna sana ..

Na hii nimepewa siri hii wana jf...ibaki siri humu,,wenyewe wasijuwe,,
Ila hawapendi kutumwa marikiti lakini hawana jinsi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] dadeki Nazi wanautalaamu wa kuchagua
 
Back
Top Bottom