Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
Kiukweli sikufichi Hapa tu! Sahau!!Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
Kiukweli sikufichi Hapa tu! Sahau!!Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
tuseme ni mchanganyiko,unanishauri nini wewe kama weweBila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .
Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..
-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..
Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
hiyo NB ndio imebeba ujumbe ila kiukweli nimekosa jibu stahiki maana nimepata raha sitaki kuzikosa[emoji28][emoji23]....acha nicheke tuu,tukushauri nini Sasa mkuu.
Soma vizuri ulichoandka,afu weka hisia pembeni tumia akili yako yote kufikiria utapata majibu..
NB:- hawara atongozwi.
Mwanamke hana uwezo wa kuvunja ndoa.
Jifunze kutumia sasaurojo hapana sijawahi
kwahiyo hanifai au unamaanisha niniNawajuwa vzr sana,,
.--Dada zetu wa bara kwao wanawaita Malaya..wahuni,,nk.
--Dada zao ndy wana heshima..na wametulia...kwa kuwafanya wake wa ndoa.
--Dada zetu wa bara hao kaka zao ndy wanaona wanawake wa kujifunzia kufanya matusi na kukidhi haja zao lakini sio wa kuoa kwa ndoa.
--Dada zao wao wanawatia sumu kuhusu wanaume wa bara..
Wanaume wa kizanzibar na waarabu wote wana tabia sawa..
---Kuchezea Dada zetu baadae kuwaacha na kuoa wa kwao.