Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

[emoji1] [emoji1] [emoji1] dadeki Nazi wanautalaamu wa kuchagua
Tena analilia apewe na nyongeza.kkkkkk.

Mkuu kuna siku nimewahi kumsikia Dada mmoja Jirani yangu ,,wakiongea na rafiki yake,,
Na wote ni wa visiwani

Akimponda mumewe hajuwi kuchagua vitu marikiti.,
Kila akienda anarudi na nazi koroma,, mihogo michungu.
.yule mmoja alimpamba Sana mumewe,,kwamba ni hodari sana kwenye kuchaguwa,,
Haswa Nazi na samaki...

Duu!! Aisee!!! wanawake hawa wa kizanzibar wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sasa sijui kazini anaenda Saa ngapi
 
Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha.Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza.Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu.Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano,akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa).Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull.Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae.Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda.Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi.Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini kanipa kila kitu

Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha.Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza.Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu.Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano,akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa).Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull.Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae.Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda.Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi.Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
"...kanipa kila kitu..." sijaelewa hiki kipengele.Nifafanulie ndipo nitoe ushauri.
 
Tena analilia apewe na nyongeza.kkkkkk.

Mkuu kuna siku nimewahi kumsikia Dada mmoja Jirani yangu ,,wakiongea na rafiki yake,,
Na wote ni wa visiwani

Akimponda mumewe hajuwi kuchagua vitu marikiti.,
Kila akienda anarudi na nazi koroma,, mihogo michungu.
.yule mmoja alimpamba Sana mumewe,,kwamba ni hodari sana kwenye kuchaguwa,,
Haswa Nazi na samaki...

Duu!! Aisee!!! wanawake hawa wa kizanzibar wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
Nyongeza ya nini
 
Nawajuwa vzr sana,,

.--Dada zetu wa bara kwao wanawaita Malaya..wahuni,,nk.

--Dada zao ndy wana heshima..na wametulia...kwa kuwafanya wake wa ndoa.

--Dada zetu wa bara hao kaka zao ndy wanaona wanawake wa kujifunzia kufanya matusi na kukidhi haja zao lakini sio wa kuoa kwa ndoa.

--Dada zao wao wanawatia sumu kuhusu wanaume wa bara..

Wanaume wa kizanzibar na waarabu wote wana tabia sawa..

---Kuchezea Dada zetu baadae kuwaacha na kuoa wa kwao.
Kwahiyo. Unamshauri alipize kisasi? Acha chuki binafsi ulionao. Kama umeumizwa huko haytuhusu ....
 
Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha.Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza.Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu.Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano,akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa).Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull.Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae.Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda.Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi.Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
Kakupa kila kitu na kipi hicho cha kila kitu? Kwani wengine hupewa nusu?
 
Kwahiyo. Unamshauri alipize kisasi? Acha chuki binafsi ulionao. Kama umeumizwa huko haytuhusu ....
Chuki mnazo nyie majamaa ya Zanzibar,

--Kuwaaminisha Dada zenu kwamba wanaume wa bara hatuna maana,

--Pia muache tabia ya kuona Dada zetu wa bara wahuni,Malaya,,hawafai kuoa.

--Muache kuwachezea na kuwaona Dada zenu ndy wake wa kuoa..

Hapo Kama nakuona na kapu lako ukienda marikiti..kkkkkkk

Kama umeumia sana basi next time nitakupaka mafuta..usiumie tena.
 
ukweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom