kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,580
- 18,953
Oa....ni mzuri ila sitaki kua punga
Oa....ni mzuri ila sitaki kua punga
Yaani we acha tu. Kwa kifupi, mamsap alikuwa ananipa mzigo wa kumtunza na kumsomesha mwanaye wakati huyo mtoto ana baba mitaani anabangaiza tu....Mamsap akawa ananipiga mizinga na kumpa hela jamaa yake ili ajiweke vizuri na siku akiwa na maisha mazuri waje kurudiana. Nilipata funu kwa watu japo sina uhakika sana kwamba mamsap alikuwa anakula uroda na yule kibaka wake. Nilipomuacha ghafla wacha alie na kunilamu eti mtoto alikuzoea na kukuona wewe ndiyo babake, nitamwambia nini sasa? Nikamwambia mtafutitie baba yake halisi, analia na kusema yule baba yake ni fala tu hapo hapo bado analala naye....wanawake jamani. Yule demu alinipotezea muda sana na alikula hela zangu kumtunza fala wake.ilikuaje jamaa mbishi
Hakuna mke hapo,,,tuseme ni mchanganyiko,unanishauri nini wewe kama wewe
Hapa mkuu hii utundu ni type error,,au ulimaanisha kingine,,namaanisha nimefanya nae mapenzi mara mbili na kanipa utundu wake wote
Mkuu hii ni type error? bila shaka ulimaanisha uk...du...badala ya utundu...kanipa utundu wake wote
Wanaume mna dhambi nyie!!!! Umeshatengeneza singlemaza mwingine au wengine maana huenda ukaona mwingine mzuri zaidi na huyu mzanzibari ukamwacha. Mwisho wa siku mnawanaga single maza kumbe nyie ndio sababu.Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha.Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza.Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu.Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano,akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa).Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull.Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae.Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda.Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi.Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu,na dini ni tofauti.
Mwamba anataka kutengeneza familia ya watoto ambao hawajapishana miezi hata 9.Wanaume mna dhambi nyie!!!! Umeshatengeneza singlemaza mwingine au wengine maana huenda ukaona mwingine mzuri zaidi na huyu mzanzibari ukamwacha. Mwisho wa siku mnawanaga single maza kumbe nyie ndio sababu.
Wengine wanakuja JF kulipa kisasi kwa kuhadithia fantasies zao walizoshindwa kutekeleza maishani.yakiaribika usije kulia lia hapa
Jicho...Hahahaha kumbe na wewe umeona???
Jamaa hiyo kila kitu ndo imemteka wanajua sana wale kutoa hio
Ukimwacha huyo bint na ushamla! baba yake anakutumia popo bawa jiandae kupigwa dozi kila usiku!
Single maza
Siunaelewa zenji amna kuchezea bint wa watu labda aamue mwenyew kukusamehe ila single maza hakuachi salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Popo bawa tena jamaa tena kwa dozi kila usiku
Siunaelewa zenji amna kuchezea bint wa watu labda aamue mwenyew kukusamehe ila single maza hakuachi salama
Duuu hongereni sananamaanisha nimefanya nae mapenzi mara mbili na kanipa utundu wake wote