Daah hivyo ndivyo walivyo?Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .
Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..
-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..
Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
Hivyo tu mkuu...Daah hivyo ndivyo walivyo?
Kuna jamaa anafanya kila kitu yeye
Duu !! Aisee!! Kumbe hata kitunguu wanatoa?ndio inabidi uelewe alinipa kila kitu
Wanawake wa kizanzibar hawawezekani.kwanini
Uko sahihiNamba leo.
Tongoza kesho.
Jua kila kitu kumhusu kesho.
Anaomba kufikiria. Jibu ni ndiyo kesho kutwa.
Unapewa kila kitu kwa mara mbili.
Huyu ndiye mke wa kuoa. Niamini mimi kama humtaki gawa namba
Kila kitu pamoja na nini?ukipewa kila kitu lazima upagawe
Sasa hiyo kila kitu ndiyo nini?ukipewa kila kitu lazima upagawe