Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

Mtoto wa Kizanzibar kanikamata

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
Wakuu kwema,nipo mkoani napiga mishe zangu za kutafuta maisha. Juzi kati wakati natoka nilipishana na mtoto mmoja wa Kizanzibar mkali kinyama anaelekea kituoni nilivomuona moyo ukastuka ila nikampotezea nikaona huyu maji marefu sitomuweza. Nikapita short cut zangu tukaja kutana kituoni.

Stori zikaanzia pale na tukaanza fahamiana hadi akanilipia nauli kwenye gari tulivoshuka.Nikachukua namba yake nikasepa zangu. Taratibu nikaanza kumtext nikitaka kumjua kiundani zaidi na kweli alikua atoa ushirikiano, akaniambia kamaliza chuo x na pale mtaani alikuja kwa ndugu zake tu mara moja kusalimia.

Baada ya siku kadhaa nimemchek akaniuliza wifi yangu hajambo?nikamjibu sina tena nashukuru Mungu nimekutana na wewe uchukue nafasi yake(wakati hapo nina mademu si chini ya wa5 na mmoja ana mimba changa). Akawa haamini kama kijana mtanashati kama mimi nikakosa mtu wa kutoka nae.

Nikaanza shusha vocal zangu za ubaharia mtoto akawa haamini kama nipo single.Basi akasema nimpe muda atanijibu,nikaona hapa mambo bull bull. Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae. Siku ya pili akaanza niuliza vimaswali pale nikajibu ipasavyo basi akasema nipo tayari kua na wewe ila naomba usiniumize.

Penzi likaanzia hapo nikawa nimezama kwa mtoto wa kiZenji ana uarabu flani nywele kama zote.Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.

Tumekutana kimwili kama mara mbili na yuko bomba anajua mapenzi kanipa kila kitu na anajituma.Nahitaji awe mama wa watoto wangu na yeye anahitaji pia tuje tuishi pamoja(kuna dalili ashanasa preg. tayari) na yule wa mwanzo awe kama mwanang wa kwanza maana ni kazuri nakapenda. Muda ukifika nataka niwashirikishe wazazi. Mnanishauri nini wakuu kuhusu huyu binti niendelee nae au nipite tu, na dini ni tofauti.
 
Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .

Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..

-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..

Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
 
Kiukweli ni msichana mrembo sanaa kila mwanaume kamili lazima ahitaji kua nae
😅😂....acha nicheke tuu,tukushauri nini Sasa mkuu.
Akaja kuniambia ana mtoto mdogo ana approach 2 years now na baba yake alishaacha nae akavunja ndoa coz alimkamata na rafiki ake ndani mwake akampiga chini so akawa single hataki mtu.
Soma vizuri ulichoandka,afu weka hisia pembeni tumia akili yako yote kufikiria utapata majibu..

NB:- hawara atongozwi.
Mwanamke hana uwezo wa kuvunja ndoa.
 
Bila shaka umekutana na mwanamke wa kizanzibara .

Hivi wewe CHOGO unaweza kweli kukubalika mbele ya binti wa kizanzibar halisi?
Hao watu ni wabaguzi sana,,
Sifa zote mbaya tumepewa wanaume wa bara..

-- Hatujuwi mapenzi.
-- sio wastaarabu.
-- tunatesa wanawake.
-- hatupendi kutumwa na mwanamke..

Jiandae kwenda marikiti na kapu kuleta mahitaji..
Bora wew unawafaham vizuri hawa ni wachoyo kupitiliza
 
Bora wew unawafaham vizuri hawa ni wachoyo kupitiliza
Nawajuwa vzr sana,,

.--Dada zetu wa bara kwao wanawaita Malaya..wahuni,,nk.

--Dada zao ndy wana heshima..na wametulia...kwa kuwafanya wake wa ndoa.

--Dada zetu wa bara hao kaka zao ndy wanaona wanawake wa kujifunzia kufanya matusi na kukidhi haja zao lakini sio wa kuoa kwa ndoa.

--Dada zao wao wanawatia sumu kuhusu wanaume wa bara..

Wanaume wa kizanzibar na waarabu wote wana tabia sawa..

---Kuchezea Dada zetu baadae kuwaacha na kuoa wa kwao.
 
Nawajuwa vzr sana,,
.Dada zetu wa bara kwao wanawaita Malaya..
Dada zao ndy wana heshima..na wametulia...kwa kuwafanya wake wa ndoa.

Dada zetu wa bara kwao hao kaka zao ndy wanaona wanawake wa kujifunzia kufanya matusi na kutoa haja zao na sio kuoa kwa ndoa.

Dada zao wao wanawatia sumu kuhusu wanaume wa bara..
Point!
 
Back
Top Bottom