PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,080
Siongelei uzi wa special thread za warembo hapana,Mimi mwenyewe nikasema hivyo? 🤣🤣🤣 watu wengine ndiyo walisema simimi kasome vizuri PSL bana. Ule uzi naupenda nimepumzika, nikiwa na muda tena nitarudi kule. Okay basi leo nimejua sababu. Nilikuwa nashangaa tu. Basi poa tuko pamoja PSL god
kuna thread nyingine tuu nadhani ya 2023 kama sikosei hio thread ilikua inawaponda "wanawake wenye figure 8!" kuwa hawana akili.
Wewe ukacomment "kwani wanawake wenye shepu tumewakosea nn?" ndo hapo nilicheka nikakumark 😀 kuwa na wewe umo kuna id zingine pia za kike zilionekana pia zimesema kuwa huko nyuma zimefungasha sio haba nilizimark baadhi zingine nimezisahau ndo hapo nikacheka